Naanzaje kumshitaki kiongozi wa kanisa kupitia vitengo vyao vya kanisa ikiwa ameninyanyasa, kunipora vitendea kazi na kutishia kuniuwa?

Huwezi pata ushauri wa maana kwa maelezo yako, hujataja ni kanisa gani na wala kueleza tukio zima. Je kama ni kweli wewe ndiyo ulianza kumchokoza!
 
Mkuu umesema amechukua PC yako, ambayo ndio kitendea kazi chako na huu ni mwaka wa pili , umeyumba na familia unaiendesha kwa shida !

Jitahidi kufanya shughuli yoyote ile halali hata vibarua ,,,, save kadri uwezavyo hata kama ni buku 2 per day ,,, dunduliza ukifikisha kuanzia laki 2 - 5 unaweza kupata desk top ama pc nzuri(used) ambayo utaitumia kuendeshea maisha yako kama awali,,,,,

Unalalama bure na kutaka kutia huruma huku inaonesha hujitambui ,,,,

Unaonekana una online TV uchwara sasa unaokoteza umbea umbea ukanasa kusiko ,,,, kuwa mwangalifu
 
Wachache sana walioonesha kushauri Cha maana wengi ni wale ambao huwa ni kawaida kwao mtu Akileta Jambo lake if akitegemea Kuna great thinkers wanaweza kumsaidia japo pa kuanzia wao wapo kwa ajili ya kushambulia na kebeh nje ya swala husika...lakini si ajabu binadamu tuko tofauti.
 
Sina online TV Wala sijihusishi na chochote kinachohusiana na Mambo hayo ya mitandao.Mazngira niliyopo siwez kufanya lolote maana shughli za utafutaji ni chache tu..na siruhusiwi kujumuika na wanakijij wengine in short Kila mtu ananiona Jambaz kwakuwa nilikuja kutiwa pingu na makamanda huku watu wakishuhudia,na walipouliza makamanda wakawajibu ni Jambazi Hali ya kuwa wao wenyewe wametumwa kuja kunikamata hawakuambiwa Nina kosa gani maana walikua wanataka mm ndio niwaambie makosa yangu.
 
Kuhusu Siri yake watu wangu wa karibu wanafahamu A to Z ,pia taarifa zangu zipo vituo kadhaa vya polisi nilivyopelekwa baada ya kukamatwa kabla sijasafirishwa,mwenyekiti wa viongozi wa serikali wa wilaya yangu pia wanazo taarifa kamili in case likitokea la kutokea wanafahamu
Tafutaa mgangaa mzuri umlogee huyo Mchungaji hewaa..

Au tupe hyo Siri yakee kablaa ajakuuwa Ili km ana haribu jamii yetu tumjue mapemaaa mkuu ,
 
Ningekuwa ni mimi nimeomba huo ushauri wako , wewe ungenipatia ushauri gani mkuu?
 
Mlalamikaji hajulikani?
Mshtakiwa hajulikani?
Kanisa hakijulikani?

Unataka Watu wakusaidie vipi.

Sema mchungaji fulani wa kanisa fulani amenifanyiw moja, mbili, tatu. Ushahidi huu hapa. Naombeni msaada.
 
Mlalamikaji hajulikani?
Mshtakiwa hajulikani?
Kanisa hakijulikani?

Unataka Watu wakusaidie vipi.

Sema mchungaji fulani wa kanisa fulani amenifanyiw moja, mbili, tatu. Ushahidi huu hapa. Naombeni msaada.
Sawa acha nipate ushauri kwa Wanasheria Kwanza ...
 
Sawa acha nipate ushauri kwa Wanasheria Kwanza ...

Sawasawa.

Yaani kwenye ulimwengu wa digitali bado kuna Watu wanateswa. Una-smartphone unashindwa hata kurekodi clip kuirusha mtandaoni au hata humu ukitoa maelezo yaliyonyooka, na uhakika wa ushahidi. Ili upewe msaada.

Unataka wanasheria ndio wakusaidie. Sawasawa
 
pole lakini unakosea sana kumwita eti"KIONGOZI WA KANISA",,,hamna kiongozi wa ivo man!!!kwanza ata izo picha za pc,nahisi ni za ngono,,,,any way,ushauri wangu ni mawili!!!!!!,,,,,,,,,moja hamisha familia yako,ipeleke kijijini alaf angalia uwezo wa kulipiza kisasi,na ukitaka kulipiza kisasi kuanzia sasa usimwongelee vibaya huyo mpumbavu,badala yake wewe ndo uanze kjitangaza kwa wa2 wa kanisa kwamba wewe ndo mmbaya,,kwani umemkosea sana huyo jamaa!!! alaf usipende kusema kwamba yeye ndo anasababisha mpaka unaishi vibaya{ili kuwapoteza boya mapolisi wakati wa upepezi baada ya kisasi},,,,then badala ya kuwaona viongozi ili kumshtaki!!!,wewe kawaone ili wakutengee nafasi ya kumwomba msamaha kiongozi huyo msamaha kwa makosa uliyomtendea{tena mbele ya waumini siku ya ibada],,,sasa basi,,,,hapo atajisahau na kurelax then fanya baya lolote{ hamna atakae kuhisi-kwani hauangaliagi movie wewe jamaa},,,ok!!! pili,"LET KARMA DO IT DIRTY WORK-yaani let the universe play the game}}}}}}..........ya tatu na nyongeza {mwachie MUNGU]
 
Peleka taarifa kote, kwa mkuu wa kituo cha polisi, kwa kamanda wa polisi wa mkoa, kwa IGP na kwa takukuru.

Kisha peleka taarifa ofisi ya mashtaka ya wilaya au ya mkoa na kwa waziri wa mambo ya ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…