Wengi wetu tunaukimbia uhalisi na kuweka hisia kwenye mambo ambayo tuna maslahi nayoHuyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.
Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.
Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa
Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.
Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania
Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
Hoja yahitaji mjadala wa maridhiano kwa wahusikaHuyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.
Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.
Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa
Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.
Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania
Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
Wewe ni msenge tu unashabikia dini ambazo hata huzijui chanzo chake. Uislamu na Ukristo zote ni dini zimetokea Mashariki ya Kati hazina tija yoyote mnakuwa brainwashed na kuwaona watu weupe ni bora kuliko nyie wenyewe huo ni ukoloni mamboleo.Kwakua wewe huna dini ndio utaona Uislamu hauna maana, na huko uarabuni usifikiri kuna ushoga kama huko uyahudini na baadhi ya mataifa ya magharibi+ baadhi ya Afrika.
Eti nijivunie uzawa kisa nini? Naishi na wazawa wasio waislamu, niache kujivunia Uislamu wangu na kuwaombea dua ndugu zangu waislamu wa Palestina n.k wanaopitia madhila, tabu na mateso kutoka kwa makafiri, eti nijivunie uzawa wangu. Are you serious?
Nyie lini mtapata nafasi? Au mmeamua kuwaachia Wazanzibar?Uwongo shida ni uslam mama akisimama mnaona uslam huwa inawauma saana
Inaumiza Sana mioyo yetu.Watanganyika zaidi ya mil 60, mnakubaki kutawaliwa na mwanamke mzanzibar ambaye nchi yake ina watu hawazidi hata laki 3 kweli.