Naapa hii nchi haitakuja kutawaliwa tena na Mzanzibar

Naapa hii nchi haitakuja kutawaliwa tena na Mzanzibar

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.

Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.

Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa

Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.

Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania

Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
 
"Naapa"

GsgYF8JXQAAh3FB.jpeg
 
Kuna kitu nilikiandika mkutaka kusoma.siku kupata uraisi tu baada ya kifo cha JPM na kwenda kwa wajomba zake oman kulikuwa kuna nini.
kwa nini wa oman waliondolewa kwa mapinduzi na kwa nini ni wajomba zake wapo kule ina maana kuna hasira ambayo watanganyika kuna siku mtaiona wazi sasa.
 
Kwenu akiongoza Muislamu ni kosa japo sio wote
 
Kwakweli nakubaliana na Wewe nawachukia CCM , lakini napenda waweke mgombea Mtanganyika, angalau atakuwa na ndugu huku bara na atakuwa na huruma, Hii ya kuleta mtu kutoka nchi nyingine aje kutawala bara sio sahihi, na hii watanzania tuambizane, na ndomana mama aliamua kujipitisha mkutano mkuu, Watanganyika wasingekubali kumpa nchi mzanzibari , miaka 1000

Huu ukweli hata CCM wanaujua, sema nao ni waoga, muliro muoga akiongea anashughulikiwa, pm muoga akiongea anashughulikiwa, spika muoga akiongea anashughulikiwa, DGIS muoga akiongea anashughulikiwa, CDF, IGP wote waoga wakiongea wanashughulikiwa. Rais ni '' M U N G U'' T ANZANIA HII.

Nawaomba wana CCM, WANACHADEMA, CHAUMA, Tushirikiane tumuondoe kwanza huyu mzanzibar, hayo mengine tutaongea kindugu
 
Kuna kitu nilikiandika mkutaka kusoma.siku kupata uraisi tu baada ya kifo cha JPM na kwenda kwa wajomba zake oman kulikuwa kuna nini.
kwa nini wa oman waliondolewa kwa mapinduzi na kwa nini ni wajomba zake wapo kule ina maana kuna hasira ambayo watanganyika kuna siku mtaiona wazi sasa.

We bado hujiulizi kwa nini bandari, mwendokasi vinasimamiwa na waarabu tu
 
Kwenu akiongoza Muislamu ni kosa japo sio wote
Sioni shida akiongoza Muislam. Tatizo ni muislam wa Zanzibar. Wazanzibar hawajawahi kuheshimu watanganyika kamwe.

Kwanza kitendo cha Wazanzibar kuwa viongozi kinawanyima fursa waislam wa bara kwenye urais. Hata JK asingekomaa ile 2005 tungepata rais muislam toka Zanzibar maana ilikuwa zamu yao. Huu ni ujinga.

Wao wana serikali yao na nchi hao. Kwenda Zanzibar hadi iwe na kitambulisho. Kwa nn wanataka watawale na Bara?
 
Back
Top Bottom