Naapa hii nchi haitakuja kutawaliwa tena na Mzanzibar

Naapa hii nchi haitakuja kutawaliwa tena na Mzanzibar

Wakati wa magufuli kila mtu alisema waislamu huwa wanatawala vzr na hela zinapatikana,

Ila wakristo wakitawala Hali inakuwa ngumu,

Sasa hivi mna hela, kelele zimekuwa nyingi,

It seems people don't really understand what kind of leadership they want

Wewe kama nani mkuu? Halafu unatumia ID fake, hebu tumia jina halisi kisha uongee haya maneno, tuone kama wewe ni kidume kweli.

Kwenu akiongoza Muislamu ni kosa japo sio wote
Mimi Kama mwananchi wa kawaida Tanzania hakujawai kutawaliwa na Mzanzibar!!!!

Kwani unahisi wazee walikuwa wajinga?
 
Gwajima amekua muongeaji kipindi cha mama, wakati wa magu ulishahi kumsikia akipaza sauti? Mauaji ya watu wasiojulikana ulishamsikia akimkoromea magu?
Unajua kwa nini gwajima alipewa jimbo la kawe Baada ya kuliamsha dude kwa makondo na kumsema juu ya matendo yake tena chanzo kikiwa juu ya kufamia ofisi za clouds media kwahiyo gwaji boy hakuanza kipindi hiki
 
Samia alipaswa kufukuzwa kwa nguvu zote sema "sisi watanzania ni mapoyoyo sana". Kundi la watu wasiozidi 200 linaweza kutesa na kunyanyasa watu zaidi ya 30m wenye nguvu?.
 
Eti mtu anayetoka kwenye kiinchi chenye watu laki8 ndio anakuja kutuongoza watu 60m+!. Vipi usalama wa mali za Tanganyila kama akiondoka madarakani?, Zanzibar saizi wanajua kila jambo la Tanganyika. Hata Nyerere na Karume kuna mambo ya siri walikuwa hawaelezani kuhusu Tanganyika na Zanzibar... Sasa hivi mambo yote ya Tanganyika yanajulikana.
Hahaha Watanganyika wajinga sana, ukiiangalia Zanzibar kwenye ramani halafu ndio wanatawala Tanganyika unaweza kusema tumelaaniwa.

Tuuvunje kila mmoja akae kwao.
 
Wakati wa magufuli kila mtu alisema waislamu huwa wanatawala vzr na hela zinapatikana,

Ila wakristo wakitawala Hali inakuwa ngumu,

Sasa hivi mna hela, kelele zimekuwa nyingi,

It seems people don't really understand what kind of leadership they want
Mwinyi yuko vizuri Zanzibaa hata huku angefaa yule kijana ametulia
 
Kw
Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.

Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.

Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa

Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.

Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania

Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
Kwa udhamini wa watu wa china
 
Maneno ya mitandaoni bwana!!!....
 
Hivi hakuna jinsi tunaweza ku petition huko UN ili Tanganyika irudishwe?
 
Back
Top Bottom