Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.
Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.
Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa
Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.
Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania
Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
Utasema je atakuwa wa mwisho wakati katiba inataka makamu kutoka upande wa pili na je makamu akimroga mkuu wake kwani uchawi na majini hayapo?