Naapa hii nchi haitakuja kutawaliwa tena na Mzanzibar

Oops CCM Mpaka Sasa Inajuta Sana Yanayoendelea Tanzania
No Reforms, No Election
Lazima kuna wanaolaumu kwa kusema" Ndio maana Magu alipofariki hatukutaka huyu awe prezidaa" Mabeyo ulituletea nini hii sasa!? Ona taifa linavyotumbukia shimoni!
 
Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.

Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.

Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa

Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.

Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania

Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
Ukweli hapa kwa mzanzibari tuliyumba
 
Haiwezekani wazanzibar hawafiki hata milioni 5, alafu tumewapa waiongoze Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. Huu ni umbu mbu mbu....isikubalike tena...hili kosa, tunaharibiana sana

Acha unyerere hapa mzee, waislamu tulioko bara na wazanzibari wote kitu kimoja, almuslim akhuuh muslim, hivyo msituletee ubaguzi hapa
 
Hivi hakuna jinsi tunaweza ku petition huko UN ili Tanganyika irudishwe?
Baada ya kuuwa maelfu ya waislamu na waarabu sio?? Malipo mtayakuta kwa Mola, yeyote aliehusika mauwaji hayo basi atambue malipo atayakuta
 
Acha unyerere hapa mzee, waislamu tulioko bara na wazanzibari wote kitu kimoja, almuslim akhuuh muslim, hivyo msituletee ubaguzi hapa
Ila ukweli utabakia kama kawaida, hata tusipotamka kwa sauti sawa tu. Basi wote tukemee uovu sio mmoja akemee mwingine ajifiche chini ya meza, 😄
 
Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.

Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.

Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa

Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.

Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania

Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
Unaumia ukiwa wapi? SAMIA TUNAE na tunatamba nae mpaka 2030
 
Sioni shida akiongoza Muislam. Tatizo ni muislam wa Zanzibar. Wazanzibar hawajawahi kuheshimu watanganyika kamwe.

Kwanza kitendo cha Wazanzibar kuwa viongozi kinawanyima fursa waislam wa bara kwenye urais. Hata JK asingekomaa ile 2005 tungepata rais muislam toka Zanzibar maana ilikuwa zamu yao. Huu ni ujinga.

Wao wana serikali yao na nchi hao. Kwenda Zanzibar hadi iwe na kitambulisho. Kwa nn wanataka watawale na Bara?
Hamjataka mkitaka wapo mitaani kwenu wafukuzeni
 
Kwanza ujue hapa bara mko wachache sana ukilinganisha na UISILAMU, hivyo acheni chokochoko
Mimi ukileta habari za dini nakuona msenge tu, dini hizo mlizoletewa kutoka Mashariki ya kati siyo jambo la kujivunia hata siku moja.Wewe jivunie uzawa wako nitakuona wa maana.Hizo dini mliletewa kuwa brainwash ili mtawaliwe kirahisi.
 
Hahaha Watanganyika wajinga sana, ukiiangalia Zanzibar kwenye ramani halafu ndio wanatawala Tanganyika unaweza kusema tumelaaniwa.

Tuuvunje kila mmoja akae kwao.
Jamani twendeni na logic bhana!

Ukubwa wa kijiografia wa Zanzibar siyo hoja, unaifahamu ramani ya Uingereza, kwanza Uingereza kuiita kisiwa mpaka ujiulize mara mbili mbili?

Hapa tujadilini ukandamizwaji wa haki za waTanganyika unaofanywa na Mzanzibari pamoja na kuuza rasilimali za nchi kwa njia ya kutapanya kwa sababu hana uchungu nazo.

Kukopa na kulimbikiza madeni wapumbaf wanaita 'mama anatafuta pesa kwa ajili ya taifa hili'!

Yapo mengi ya hovyo ambayo Watanganyika yatupasa tukumbushane ili tukae mstari mmoja.
 
Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.

Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.

Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa

Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.

Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania

Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
Labda kama mtaanzisha Mataifa 2 ila kama ni hivi hivi itakuwa na itatokea na hakuna kitu utafanya.

Mwisho mama komalia hapo hapo wameanza kuvuja kamasi
 
Jamani twendenina logic bhana!

Ukubwa wa kijiografia wa Zanzibar siyo hoja, unaifahamu ramani ya Uingereza, kwanza Uingereza kuiita kisiwa mpaka ujiulize mara mbili mbili?

Hapa tujadilini ukandamizwaji wa haki za waTanganyika unaofanywa na Mzanzibari pamoja na kuuza rasilimali za nchi kwa njia ya kutapanya kwa sababu hana uchungu nazo.

Kukopa na kulimbikiza madeni wapumbaf wanaita 'mama anatafuta pesa kwa ajili ya taifa hili'!

Yapo mengi ya hovyo ambayo Watanganyika yatupasa tukumbushane ili tukae mstari mmoja.
Hahaha, Zanzibar tuwaache kula mtu akae kwao hutaki nini, kwani lazima sisi?
Waende Kenya.
 
Mzanzibari akatawale nchini kwao, sio aje kuitawala tanganyika kupitia muungano feki, wewe sasa hivi tukupeleke ukawe rai wa rwanda utakuwa na uchungu na wanyarwanda kuliko ndugu zako huku tanganyika
Vitu 2 tofauti, rudi kasome historia
 
Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.

Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.

Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa

Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.

Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania

Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
Kwa kauli hii ya kukata tamaa, tayari kwishnei. Bado wengine. Mmoja mmoja ataisoma namba!
 
Mimi ukileta habari za dini nakuona msenge tu, dini hizo mlizoletewa kutoka Mashariki ya kati siyo jambo la kujivunia hata siku moja.Wewe jivunie uzawa wako nitakuona wa maana.Hizo dini mliletewa kuwa brainwash ili mtawaliwe kirahisi.
Kwakua wewe huna dini ndio utaona Uislamu hauna maana, na huko uarabuni usifikiri kuna ushoga kama huko uyahudini na baadhi ya mataifa ya magharibi+ baadhi ya Afrika.

Eti nijivunie uzawa kisa nini? Naishi na wazawa wasio waislamu, niache kujivunia Uislamu wangu na kuwaombea dua ndugu zangu waislamu wa Palestina n.k wanaopitia madhila, tabu na mateso kutoka kwa makafiri, eti nijivunie uzawa wangu. Are you serious?
 
Wewe mtu ana asili ya uarabu, ndugu zake wote wapo omani, halaf anatawala huku

Oman na Tanzania wana historia, sema nyie wengi wenu hamuelewi, au mnaelewa sema chuki zimewajaa vifuani mwenu na wabaguzi wakutupwa. Ukiangalia hata nchi ya oman kama sikosei 50%wanaongea kiswahili kuliko nchi yoyote duniani ukitoa labda east afrika.

Yani nyie ni heri mkaishi na mayahudi yaliolaaniwa ndio mtawezana

Palestine 🇵🇸 will be free
 
Sioni shida akiongoza Muislam. Tatizo ni muislam wa Zanzibar. Wazanzibar hawajawahi kuheshimu watanganyika kamwe.

Kwanza kitendo cha Wazanzibar kuwa viongozi kinawanyima fursa waislam wa bara kwenye urais. Hata JK asingekomaa ile 2005 tungepata rais muislam toka Zanzibar maana ilikuwa zamu yao. Huu ni ujinga.

Wao wana serikali yao na nchi hao. Kwenda Zanzibar hadi iwe na kitambulisho. Kwa nn wanataka watawale na Bara?
Uwongo shida ni uslam mama akisimama mnaona uslam huwa inawauma saana
 
Back
Top Bottom