Naapa hii nchi haitakuja kutawaliwa tena na Mzanzibar

Naapa hii nchi haitakuja kutawaliwa tena na Mzanzibar

Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.

Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.

Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa

Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.

Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania

Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
Wakati Mwinyi akiwa ikulu pengine ulikuwa mwanafunzi wa darasa la pili. Miaka 20 au 30 ijayo pengine hautakuwa miongoni mwa wanaovuta hewa ya oxygen.

Wazungu wanasema never say never.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Hivi kuna mtu anafahamu kwanini, (mby), wanyakyusa dada zake kaka, mke wake wanamuita wifi?
 
Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.

Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.

Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa

Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.

Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania

Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
Mi naanza kuhesabu hizi siku 60 leo siku ya pili!
 
Tatizo sio utanganyika Wala uzanzibari!!

Tatizo ni mfumo,kikwete aliliona hilo akaitisha mchakato wa katiba mpya,wahuni waliopo ccm wakaharibu mchakato ukaahirishwa hadi leo!!

Katiba mpua ikipatikana hasta atawale mzungu,mwarabu etc hakuna atakaeharibu!!

KAZI na utu,tunasonga mbele
 
Gwajima amekua muongeaji kipindi cha mama, wakati wa magu ulishahi kumsikia akipaza sauti? Mauaji ya watu wasiojulikana ulishamsikia akimkoromea magu?
Ww kichaa kwel!! Gwajima hawajawai kukamatwa na kusingiziwa kesi ya madawa ya kulevya!! Tatzo lenu nyie mnashndia madrasa muda wote hata habar za Kawaida hujui unakuja kuharisha hapa
 
Subiri uolewe ndo uape kuwa mume wako hutamruhusu aoe mke wa pili huku kwingine usilete viapo vyako vya kilevi
 
Tanganika mbu mbu mbu mbu mbu mbu mbu mbu mbu mbu hoyeeee!
 
Point of correction, Nchi hii haitokuja kutawalowa tena na mwanamke muislamu mzanzibari mamaee
 
Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.

Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.

Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa

Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.

Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania

Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
We unaumwa nenda katibiwe
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Kuna kitu nilikiandika mkutaka kusoma.siku kupata uraisi tu baada ya kifo cha JPM na kwenda kwa wajomba zake oman kulikuwa kuna nini.
kwa nini wa oman waliondolewa kwa mapinduzi na kwa nini ni wajomba zake wapo kule ina maana kuna hasira ambayo watanganyika kuna siku mtaiona wazi sasa.
Jifunze kuandika
 
We
Kwakweli nakubaliana na Wewe nawachukia CCM , lakini napenda waweke mgombea Mtanganyika, angalau atakuwa na ndugu huku bara na atakuwa na huruma, Hii ya kuleta mtu kutoka nchi nyingine aje kutawala bara sio sahihi, na hii watanzania tuambizane, na ndomana mama aliamua kujipitisha mkutano mkuu, Watanganyika wasingekubali kumpa nchi mzanzibari , miaka 1000

Huu ukweli hata CCM wanaujua, sema nao ni waoga, muliro muoga akiongea anashughulikiwa, pm muoga akiongea anashughulikiwa, spika muoga akiongea anashughulikiwa, DGIS muoga akiongea anashughulikiwa, CDF, IGP wote waoga wakiongea wanashughulikiwa. Rais ni '' M U N G U'' T ANZANIA HII.

Nawaomba wana CCM, WANACHADEMA, CHAUMA, Tushirikiane tumuondoe kwanza huyu mzanzibar, hayo mengine tutaongea kindugu
We ni zombie tu upuuzwe, mkishindwa kupata madaraka kwa njia ya kawaida mnakimbilia kutumia njia za kipuuzi km kutumia ubaguzi, hamtafanikiwa lolote Tanzania ni moja Zanzibar ni sehemu yake.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Wakumlaumu ni mkuu wa majeshi mabeyo.Mabeyo alilazimisha huyu dikteta arithi wakati wenzake walikuwa hawataki maana walijua uwezo wake ni zero brain
 
Vichaa kwenye ubora wao.Wanajitutumua kana kwamba wanaweza kuamua mustakabali wa Nchi.Mavi matupu.Kukosa kazi kunasogeza ukichaa haraka sana.Kuna mjinga mwingine anaweka time limit.
 
As long as kuna utaratibu wa kuwa na makamu wa rais kutoka upande wa pili wa muungano, probability ya kumpata rais mzanzibari ipo, maana upo uwezekano wa rais kufia madarakani.
Hata kujua hilo inataka uwe umesoma kidogo.Hawa wavimba macho wanaendeshwa na chuki na hasada hawajui hata wanaandika nini.
Ndio sababu wanajiapiza ujinga hawajui hata Katiba ya Nchi. Poor souls.
 
Back
Top Bottom