Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
Mimi ni wabara, ila bora kila nchi ijitegemee, utaona znz itakavyoendeleaHahaha Watanganyika wajinga sana, ukiiangalia Zanzibar kwenye ramani halafu ndio wanatawala Tanganyika unaweza kusema tumelaaniwa.
Tuuvunje kila mmoja akae kwao.