Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
- Thread starter
- #41
Kwakua wewe ni MPUUZI nitaku ignoreUlimaliza chuo cha ualimu 2020, sasa hivi uko diploma unajiendeleza na hujapata mkopo.
Kijana postpone tu maana hiyo ndiyo njia pekee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakua wewe ni MPUUZI nitaku ignoreUlimaliza chuo cha ualimu 2020, sasa hivi uko diploma unajiendeleza na hujapata mkopo.
Kijana postpone tu maana hiyo ndiyo njia pekee.
Ila kumbuka kujiendeleza siyo dhambi, bado unafanya vyema.Kwakua wewe ni MPUUZI nitaku ignore
Wewe sio mwana CCM,wenyewe hawana hizo tabia za kususa...Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza mimi Raia mtanzania ninaapa kutokuiunga mkono CCM chini ya Samia kwa kutukosesha mikopo wanafunzi wa vyuoni na wengine tumeishafika chuo tukitegemea tungepata walau boom itusaidie maisha ya chuo, kwa maandamano yoyote ya kuipinga serikali nitaunga mkono Chama chochote cha upinzani.
Huyu ni Lucas Mwashambwa, SISIEM imemtosa mpaka kaja na ID namba mbili kuwasema.Wewe sio mwana CCM,wenyewe hawana hizo tabia za kususa...
Tunge wapata MaCaptain Fire Million tano kame wewe tungejitoa kwa uhakika kwenye makucha ya wanyonyaji wakoloni mamboleo.Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza mimi Raia mtanzania ninaapa kutokuiunga mkono CCM chini ya Samia kwa kutukosesha mikopo wanafunzi wa vyuoni na wengine tumeishafika chuo tukitegemea tungepata walau boom itusaidie maisha ya chuo, kwa maandamano yoyote ya kuipinga serikali nitaunga mkono Chama chochote cha upinzani.
Asante bro, nitasimama imara kuunga mkono upinzani wowote dhidi ya CCM ya SamiaTunge wapata MaCaptain Fire Million tano kame wewe tungejitoa kwa uhakika kwenye makucha ya wanyonyaji wakoloni mamboleo.
Better late than neverMbona umechelewa sana kufanya maamzi.
Umenikumbuka Paroko akiwa anatuapisha wakati wa kupata Ubatizo na Kipaimara...CCM ni Chama Cha Mashetani, umefanya jambo jema kumkataa shetani na mambo yake yote.
relax tu unt aisha mawenge sio deal kwenye hoja mahususi mezani 🐒Sawa mwajuma cheupe dawa
Enjo mgawa papuchi nakuona na vijimaneno vyakorelax tu unt aisha mawenge sio deal kwenye hoja mahususi mezani 🐒
unt aisha unaifedhehesha familia yako dah, umekua mlegevu mno, ni nini aise 🐒Enjo mgawa papuchi nakuona na vijimaneno vyako
Kaa kimya mgawa papuchiunt aisha unaifedhehesha familia yako dah, umekua mlegevu mno, ni nini aise 🐒
halafu si uvalie hiyo suruali kiunoni aise,, 🐒Kaa kimya mgawa papuchi
Embu acha kunichafua hapa. Mimi na CCM ni damu damu.Huyu ni Lucas Mwashambwa, SISIEM imemtosa mpaka kaja na ID namba mbili kuwasema.
Hii ndo furaha yangu.
Hivi bado kuna vijana wabichi wapo CCM, kweli?!Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza mimi Raia mtanzania ninaapa kutokuiunga mkono CCM chini ya Samia kwa kutukosesha mikopo wanafunzi wa vyuoni na wengine tumeishafika chuo tukitegemea tungepata walau boom itusaidie maisha ya chuo, kwa maandamano yoyote ya kuipinga serikali nitaunga mkono Chama chochote cha upinzani.
Wewe dogo umeifanyia nini taifa lako?BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.
1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.
Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.
LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.
2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.
1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.
3.Magonjwa na Maradhi.
4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
AJIRA.
5. Rushwa na Upendelo
6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk
MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.
OKOENI TAIFA LENU LEO.
IPO SIKU HILI TAIFA LITAZIDIWA HADI NA SILOMALIA KIUCHUMI.
MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.