Sijui ni tz tu mtu anakopa ili asilipe, yani asilipe ndio sababu ya kukopa πWatanzania hawalipi madeni usithubutu kuwakopesha hela.
Kukopa harusi kulipa matanga hawakudanganyaSijui ni tz tu mtu anakopa ili asilipe, yani asilipe ndio sababu ya kukopa π
Alikuwa anakujaza kwenye mfumo na ukajaa kweli πKuna jamaa alianza kunipokopa elfu 5 jion akanirudishia baada ya siku mbili elfu 20 jion akanirudishia , baada ya wiki elfu 50 jiona akanirudishia ikaenda kwa staili hiyo hiyo hadi ikafika laki 5 jion ananirudishia kumbe bana alikua ananirudishia hela yangu ileile nayomkopesha asubuhi wala alikua hata haitumii
Mara ya mwisho akataka million 1 nikamwambia sina akanishusha hadi laki 6 nilivyompa tu akasepa nayo jumla
Wakati wa kukopa huwa ni rahisi sana kuona rejesho ni jepesi, mtu akiniamini kwenye ishu ya pesa huwa sipendi kabisa kumuangusha.Kukopa harusi kulipa matanga hawakudanganya
kuna mtu nilikuwa naye utotoni, ni mtoto wa mama yangu mdogo, nyumba yao hii, inayofuata ya kwetu, alinikopa pesa kadhaa miezi kama 4 imepita, anapokopa alisema just in 10 days zinarudi, aongeze kwenye biashara yake. nilimpa, sikumkumbusha baada ya siku 10 nikampa hadi mwezi nione kama anakumbuka au la. mwezi wa kwanza nikapiga, hata simu hapokei, miezi4 sasa, hata simu hapokei itaita hadi ikatike. imebidi ninyamaze tu nikiamini pengine atakuwa amekutana na changamoto na anaona aibu kuchelewesha. zaidi sana ni ndugu yangu angenielekeza tu shida aliyokutana nayo ningemwelewa.1. Mligo wa njombe 600000/=
2. Evodi wa kibaha 100000/=
3.Elibariki wa moshi kati ya 280000/= umenirudishia 15000/=
4. Dotto wa kibaigwa 45000/=
5. Mama Thadeo wa ilemela 68000/=
Haya madeni yana miaka miwili na zaidi Mungu atanilipa. Ila mligo wa njombe ushapata adhabu yako hapahapa duniani maana nasikia u-mlevi wa kupindukia hata familia inakushinda.
Watanzania hawalipi madeni usithubutu kuwakopesha hela.
ππMbona mi nlikupa 150,000 kati ya 280,000 Hapo we umeandika 15000 kati ya 280000
Sio wote Kaka. Mimi Willy wa Gongola Mboto huwa ananikopesha hadi Milioni 5. Na huwa namrudishia ananikopesha tena...kwakweli yule jamaa huwa ananiokoa sana nikiwa na Shida.1. Mligo wa njombe 600000/=
2. Evodi wa kibaha 100000/=
3.Elibariki wa moshi kati ya 280000/= umenirudishia 15000/=
4. Dotto wa kibaigwa 45000/=
5. Mama Thadeo wa ilemela 68000/=
Haya madeni yana miaka miwili na zaidi Mungu atanilipa. Ila mligo wa njombe ushapata adhabu yako hapahapa duniani maana nasikia u-mlevi wa kupindukia hata familia inakushinda.
Watanzania hawalipi madeni usithubutu kuwakopesha hela.