Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
daaaaah
ume nikumbusha kituKuna jamaa alianza kunikopa elfu 5 jion akanirudishia baada ya siku mbili elfu 20 jion akanirudishia , baada ya wiki elfu 50 jioni akanirudishia ikaenda kwa staili hiyo hiyo hadi ikafika laki 5 jion ananirudishia kumbe bana alikua ananirudishia hela yangu ileile nayomkopesha asubuhi wala alikua hata haitumii
Mara ya mwisho akataka million 1 nikamwambia sina akanishusha hadi laki 6 nilivyompa tu akasepa nayo jumla