Naapa mbele ya Mungu, Yanga ikiifunga TP Mazembe Leo najiondoa rasmi JamiiForums

Mpira sio maneno wala kuhamasisha watu kwenye jogging kisha unachukua simu unampigia Mayele halafu anakuahidi mbele ya wajinga wajinga kuwa watashinda mchezo huo, Big No.

Mpira ni sayansi, hata kujazana vip uwanjani kama huna uwezo huna tu, kikosi cha Yanga chenye wazee kama Simba, wachezaji walioshindikana huko walikotoka hakiwezi kuifunga TP Mazembe hata tukalale makaburini mwaka mzima.

Na ninaahidi kwa namna nilivyowaona Mazembe na walivyo na mikakati, Yanga akishinda Leo najiondoa rasmi humu JF na sitoonekana tena.Kama hiyo haitoshi, nitawavulia kofia rasmi kuwa wao wameshindikana.

Tusidanganyane hapa.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
MKUU USITOKE WEWE NI MWANAFAMILIA MWENZETU..

TUNAJUA HUKUANDIKA KWA KUPENDA KWAKO ILA NI MSONGO TU ULIKUZIDI, HIVYO KWA NIABA YANGU NA WANAJF WOTE SISI TUMEKUSAMEHE... ILA UFAHAMU TU

YANGA SIO MAKOLO...!!!
 
Mpira sio maneno wala kuhamasisha watu kwenye jogging kisha unachukua simu unampigia Mayele halafu anakuahidi mbele ya wajinga wajinga kuwa watashinda mchezo huo, Big No.

Mpira ni sayansi, hata kujazana vip uwanjani kama huna uwezo huna tu, kikosi cha Yanga chenye wazee kama Simba, wachezaji walioshindikana huko walikotoka hakiwezi kuifunga TP Mazembe hata tukalale makaburini mwaka mzima.

Na ninaahidi kwa namna nilivyowaona Mazembe na walivyo na mikakati, Yanga akishinda Leo najiondoa rasmi humu JF na sitoonekana tena.Kama hiyo haitoshi, nitawavulia kofia rasmi kuwa wao wameshindikana.

Tusidanganyane hapa.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Bado upo
 
FB_IMG_1676834136902.jpg
 
Wasalimie huko uendako
 
Aibu kwa wazazi wako kwa kupoteza muda kukusomesha mjinga ka wewe....
 
Mpira sio maneno wala kuhamasisha watu kwenye jogging kisha unachukua simu unampigia Mayele halafu anakuahidi mbele ya wajinga wajinga kuwa watashinda mchezo huo, Big No.

Mpira ni sayansi, hata kujazana vip uwanjani kama huna uwezo huna tu, kikosi cha Yanga chenye wazee kama Simba, wachezaji walioshindikana huko walikotoka hakiwezi kuifunga TP Mazembe hata tukalale makaburini mwaka mzima.

Na ninaahidi kwa namna nilivyowaona Mazembe na walivyo na mikakati, Yanga akishinda Leo najiondoa rasmi humu JF na sitoonekana tena.Kama hiyo haitoshi, nitawavulia kofia rasmi kuwa wao wameshindikana.

Tusidanganyane hapa.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Ondoka sasa
 
Back
Top Bottom