Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Kipindi cha mwendazake watu walikua na adabu hasa kufuata sheria bila shuruti ila kwa sasa Mama wanamchukulia poa, pale Jangwani barabara za Kasi wako MP kabisa inamaa Polisi nao wamweshindwa kazi.
Tanzania ni nchi ambayo kufuata sheria hasa kwa viongozi ni kitendawili wakati Ulaya ndio takwa namba kwa kiongozi yoyote wa Umma.
Mwenye hiyo, operesheni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Heri Jamesi kakimbia gari kapanda bodaboda, aibu kama hii bado hawajifunzi tu, barabara za kasi sio kwa ajili ya UT, PT, JW, JR n.k.Viongozi mjiheshimu.