Noizee maker
Member
- Sep 4, 2022
- 94
- 487
Wakuu mimi ninaona ni bora MAMA atoe kauli kulekule china alipo kuwa THIMBA itumwe tunisia kusawazisha mambo la sivyo.....................
By;in association with kipanga
By;in association with kipanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwezekano ulikuwa wapi mkuuMkuu hatuzungumzii historia wala ukubwa wa team. Tunazungumzia mechi ya leo. Uwezekano wa kushinda ulikuwa mkubwa tu. Kocha na Team kwa ujumla wametuangusha.
Kwanza, msiingie ukichaa wa kutaka kuchagua timu ya kukutana nayo.Wew ni Simba na unapenda kuona Nabi anaondoka maana tangu Nabi awepo Yanga imeimarika sana mpk sasa ni unbeaten 45 Nbc premier League, Kimataifa Yanga hatua hii imekutana na team zenye uzoefu na uwezo hata kifedha za uarabun, kama Yanga nayo ingekutana na team za kusin wamakonde kama wale wa Angola angeshinda tu
Nilitamani sana kumjibu huyo jamaa nashukuru umemaliza kueleza.Kwanza, msiingie ukichaa wa kutaka kuchagua timu ya kukutana nayo.
Pili, mnakumbuka msimu ule shafii dauda anawaita simba underdog walipoingia makundi, kwann walifuzu robo fainali huku wao wakiwa ni underdog wa kundi?
Tatu, unakumbuka mwaka ambao simba aliongoza kundi mbele ya al ahly, as vita na el mereikh, simba alimfunga vita nje ndani. As vita ile ilikuwa na moloko, mayele, juma shaban na wenzao ambao leo wote ni yanga
Hivyo; tatizo la yanga la kwanza kabisa ambalo wengi hamulioni ni kuhamisha as vita iliyojichokea mkaileta yanga af mkajipongeza kuwa mmesajili ili kucheza kimataifa
Hitimisho
Ukitaka kuwa mkubwa lazima uwafunge wakubwa, hapo ndipo nawe utaitwa giant na kuanzia hapo utakuwa unapangiwa timu za kawaida katika hatua za awali maana formula ni kibonde lazima apangiwe na giant na lazima aanzie kwake, yanga kimataifa bado anahesabika kuwa ni kibonde ndio maana anapangiwa na giant kama kanuni zinavyotaka, hakuna namna ya kuikwepa hiyo bali lazima uwazibue hao giant uongeze point ili ufikie ugiant utakaokupa sifa ya kupangiwa hao wamakonde unaowasema wewe
Kama uliangalia mechi huwezi kuuliza swali la namna hii. Au basi pitia statistics za Azam sportsUwezekano ulikuwa wapi mkuu
Hasira za mkizi hizi......Cha muhimu bado Yanga ni unbeaten.
Rudi hapa ww Nabi bado ngwe ya pili
Afukuzwe??mnaweza kudhamiria kumfukuza..je pesa ya kumlipa kwa kuvunja mkataba mnayo?! Ugumu upo hapoMimi Kama mwanachama na shabiki wa miaka mingi wa Yanga naomba nabi afukuzwe haraka Sana yanga.
Yanga totally ni mbovu Sana mechi yao ya mwisho waliyocheza mpira ni game ya Mtibwa mwezi 8 toka hapo yanga hakuna timu.
Tuna kundi la wachezaji tu
Nabi inaonekana ameshindwa ku control dressing room hana ushawishi wowote..
Unashindwa kumuanzisha Moloko unaanza na Kisinda?
Morrison iyo mechi alikuwa anafanya nn jaman?
Wachezaji mafaza watupu wanalelewa tu pale yanga? Aucho anamuwekaje nje Sure boy?
Baka sioni beki wa kumuweka nje pale yanga!!!
Mpeni hata Mkwasa hii timu muone moto wake!!
Nabi asipofukuzwa kesho narudisha kadi ya uwanachama Bora nibaki kwenye soka la ulaya tu
Siwezi kuendelea kushabikia takataka hizi!!
Always hao wachambua maharage ni wangeseleo wale wale wachambuz washageuka... et Club Aftica sio kipimo kwa yanga! wale jamas wapo juu sana kuliko yanga
Statistics gan zile za mchongo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama uliangalia mechi huwezi kuuliza swali la namna hii. Au basi pitia statistics za Azam sports
Na refa aliwabeba sana maana mwarabu alinyimwa wazi wazi dadekiYanga kupata goli ngumu sana,labda wapewe
Ila Manara ana keraaa eti gendaheka na tukuyu staz
Injijia kasema mashabiki wa Yanga wala mihogo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlete Nabbi.
Kwamba Azam media wanatoa statistics za mchongo? Ulielewa hata nilimaamisha nini?Statistics gan zile za mchongo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kama hapa nyumbani walimiliki mpira kiasi hiki na wakashindwa kufunga,huko uarabuni si ndiyo wanaenda kumanuliwa kinyamaKwamba Azam media wanatoa statistics za mchongo? Ulielewa hata nilimaamisha nini?View attachment 2405900View attachment 2405900