Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Simba wanamchukia sana Nabi. Wanamchukia mpaka unawaona usoni kabisa ukitaja jina la Nabi, Ukitana jina la Mayele, Ukitaja jina la Aziz na Ukitaja jina la Feisal. Wanaacha kula, wanaacha kunya wanaondoka hivyo hivyo.
Nabi hawezi fukuzwa. Malengo ya team kwa asilimia 99 ametimiza. Asifupoteze katika ligi. Hajapoteza. Then ndo baadaye yatakuja malengo mengine. Msimu uliopita alitakiwa achukue Ubingwa wa VPL akachukua. Akachukua na kombe la Azam.
Mnamfukuzaje huyu kocha? Simba wana chuki sana na Nabi. Sababu anawagonga na ushindi wao umekuwa ni draw. Wamechoka sana. Sasa wanahangaika kufanya propaganda kumwondoa Nabi.
Ninyi na wale ambao wakishiba mihogo yao wanaanza kutoa gesi ndo mnasema nabi hafai. Sisi tunaokula kuku wa kienyeji, samaki na mazagazaga kibao akili yetu inakuwa fresh. Tunawaza kwa akili tunaona kazi anayoifanya Nabi.
MTANGOJA, TENA MTANGOOOOJA SANA.
MI NIMEKAA PALE👉