NABI bado yupo sana. Ajabu wanaotaka Nabi aachwe Yanga ni Wanasimba kuliko Idadi Kubwa ya Wanayanga

Mtamuachaje wakati pesa ya kusitisha mkataba hamna
 
Hongereni watani kwa kuongeza unbeaten nyingine jana.
 
So na wale wananchi jana ni wanasimba wale??
 
Aendelee kubaki ili kimataifa mzidi kupigwa za uso..si ndo furaha yetu mjue!!?
 
Mimi ni Yanga lakini sitaki kuona Nabi akibaki Yanga.
 
Nguruwe wala mihogo mnampenda sana rais wenu mla pizza.
 
Ahsante sana..inamaana kubwa sana..atakuwa ameondoka na mabegi yake kabisa.
 

Attachments

  • KOCHA NABI_ AWASHUKURU MASHABIKI WA YANGA SC KABLA YA KWENDA TUNISIA(360P).mp4
    5 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…