Nabi: Bao la kwanza la Simba sio halali

Kocha wa Yanga anatapatapa. Akubali kuwa timu yake imefanya makosa na Simba imeyatumia vyema. Ayarekebishe makosa hayo ili afanye vizuri dhidi ya Rivers. Vinginevyo atapigwa nje ndani
makosa kafanya refa
leo mchezo umemshinda sana
timu inapoteza muda balaa, watu wamesimama kufuturu dk zaidi ya 3 unaongeza dk 5

refa mchezo ulimshinda
 
Basi tufanye tumelifuta, warudi mchezoni.
Wala asilaumu refa, leo hawakua kwenye ubora. Kuna makosa mawili MAKUBWA defence ya Simba ilifanya, moja 1st half, nyingine 2nd half, yale makosa ilitakiwa washambuliaji wa Yanga wawaadhibu Simba.
Yanga tu leo walikua hovyo, akubali tu.
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kuna mijitu humu inafikiria na kuandika fasta!
Mbumbumbu tunaridhika kilofa sana.

Si tulikubaliana Kocha atayeifunga Yanga ndiye hatafukuzwa wala si kuleta kombe lolote pale Msimbazi sababu Professor Nabi kafukuzisha Makocha zaidi ya watatu na Simba hakuwahi kuifunga Yanga TZ PL tangu 2019?

Tuendelee kuchukua makombe ya kuifunga Yanga FC na kuwa wasindikizaji bora wa CAF Club Champions league hadi maji tuite mma.

β€’ Head to head Makolokolo Vs Yanga, Yanga FC Dume/Baba lao (kashinda mechi nyingi zaidi).

β€’ TZ PL trophies, Yanga FC Dume/Baba lao (kabeba mara nyingi zaidi).

β€’ Simba = Underdog kwa Yanga anayejitutumua tu.
 
Simba leo walikasirika sana kwa kebehi za Yanga Yangu.

Bahati yao Puttini hakuwepo.
 
makosa kafanya refa
leo mchezo umemshinda sana
timu inapoteza muda balaa, watu wamesimama kufuturu dk zaidi ya 3 unaongeza dk 5

refa mchezo ulimshinda
Kwan huo muda ulipotea kwa yanga tu? Hata sisi simba huo muda tulikua tunautaka mana leo tulitaka tuwakandamize hata tano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…