wansawa
JF-Expert Member
- Oct 11, 2020
- 857
- 857
Na lapili alifunga mtalikiwa? Una viashiria vya kudai mali usio ichuma nenda caf kadai goli lifutwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera ni haki yako kushangilia miaka minne si haba tangu 2019? Shangilia tu mkuu
Sifa nyingi sana zimemharibu, na ile kuitwa professa basi imefikia hatua anaona hastahili kupoteza.Halafu kwenye mahojiona kaonesha Kwamba eti halijui jina la Kocha wa Simba. Kumbe yale madharau ya yule mbwabwajaji kayarithi yeye!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uprofessa kapewa na Hadji!!Sifa nyingi sana zimemharibu, na ile kuitwa professa basi imefikia hatua anaona hastahili kupoteza.
makosa kafanya refaKocha wa Yanga anatapatapa. Akubali kuwa timu yake imefanya makosa na Simba imeyatumia vyema. Ayarekebishe makosa hayo ili afanye vizuri dhidi ya Rivers. Vinginevyo atapigwa nje ndani
Mtasema mpaka chupi alio vaa Ni mnyama. Hamishiwi visingizio. Lile Ni pira la Brazil limewashinda.makosa kafanya refa
leo mchezo umemshinda sana
timu inapoteza muda balaa, watu wamesimama kufuturu dk zaidi ya 3 unaongeza dk 5
refa mchezo ulimshinda
Basi tufanye tumelifuta, warudi mchezoni.Kocha Mkuu wa Yanga, Nasrdinne Nabi akihojiwa na waandishi wa habari baada ya mchezo wa leo amesema; bao la kwanza walilofunga Simba halikuwa halali na hivyo likawatoa mchezoni hali iliyopelekea timu yake kupoteza mchezo huo.
" kwa waliotazama mechi vizuri hasa waliopo nyumbani watakubaliana na mimi kuwa ile haikuwa kona halali ilipaswa iwe goal kick ila ikaamuliwa kuwa ni kona na hatimae tukafungwa goli la haraka"
Aliongeza Nabi.
View attachment 2590310
Muda kama uliopotea si ulikuwa unakula kote kote? Hiyo inaitwa standard errormakosa kafanya refa
leo mchezo umemshinda sana
timu inapoteza muda balaa, watu wamesimama kufuturu dk zaidi ya 3 unaongeza dk 5
refa mchezo ulimshinda
😁 😁 😁Basi tumefuta hilo liwarudishe mchezoni sasa
Mbumbumbu tunaridhika kilofa sana.[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kuna mijitu humu inafikiria na kuandika fasta!
Kwa lipi???Hongera ni haki yako kushangilia miaka minne si haba tangu 2019? Shangilia tu mkuu
Kwan huo muda ulipotea kwa yanga tu? Hata sisi simba huo muda tulikua tunautaka mana leo tulitaka tuwakandamize hata tanomakosa kafanya refa
leo mchezo umemshinda sana
timu inapoteza muda balaa, watu wamesimama kufuturu dk zaidi ya 3 unaongeza dk 5
refa mchezo ulimshinda
HakutegemeaAsamehewe bure amechanganyikiwa huyu siyo bure.
Uto wamerudi kwenye kichaka Chao cha kuonewa.Kwan huo muda ulipotea kwa yanga tu? Hata sisi simba huo muda tulikua tunautaka mana leo tulitaka tuwakandamize hata tano
Wameingia mitini
Kona iliyozaa goli sio halali. Kama kona sio halali goli lilozaliwa kwenye kona hiyo linakuaje halali?Goli sio halali au Kona sio halali?