Nabi: Bao la kwanza la Simba sio halali

Sawa goal kick, timu ilipaswa kuzuia ipasavyo.
 
Utopolo ni timu ya kijinga tu, haiwezi cheza na simba. Sisi level zetu ni wydad, Raja, Al ahly.. sio utopwinyo
 
Amekoswakoswa magoli mengine ya wazi zaidi ya matatu. Yaani bahati yake tu ilikuwa angepigwa tano bila.
 
Jamaa amekuwa mchambuzi sasa
 
Father Benaaaaaaard
 

Chomoa mwiko huo mkuuu , kabla hatujaongeza goli la tatu
 
Na ile Penalt waliyopewa dhidi ya Geita, mbna hajawahi kusema sio halali??

Afu kumbe kiswahili anakijua vizuri mnoooooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu kwenye mahojiona kaonesha Kwamba eti halijui jina la Kocha wa Simba. Kumbe yale madharau ya yule mbwabwajaji kayarithi yeye!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbna alimtajaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…