Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,492
- 2,361
Moja ni kitu kinachoboa katika timu za africa ni kukomaa na ushindi wa nyumbani pekee. Africa imekuwa na utamaduni huu kwa muda mrefu sana, silaha ya timu za Africa ni ushindi wa nyumbani tofauti na timu za ulaya.
Kanuni ya africa ni ugenini paki basi, komaa nyumbani. Kitendo cha Yanga kuitandika timu nzuri na bora nyumbani kwao linaifanya Yanga kuangaliwa kwa kicho la pekee sana
Kanuni ya africa ni ugenini paki basi, komaa nyumbani. Kitendo cha Yanga kuitandika timu nzuri na bora nyumbani kwao linaifanya Yanga kuangaliwa kwa kicho la pekee sana