Nabii Bilionea shilla....!!!

Nabii Bilionea shilla....!!!

Hawa manabii na wafuasi wao ni watumiaji wazuri wa usemi wa "Fuata maneno yangu usifuate matendo yangu"

Mama ananiambia nikitaka maisha yanyooke nianze kwenda kanisani lakini ninapoishi nipo karibu na kanisa kiasi kwamba wakihubiri au wakiwa wanafanya mazoezi ya kwaya nasikia.

Naingiaje kanisa ambalo mahubiri yake ni juu ya coincidences? Juu ya kumuaminisha muumini kwamba hata kama haufanyi kazi Yesu anakufanyia njia kuelekea mafanikio? Jamaa anakuambia "Umekuja hapa hauna pesa lakini ukirudi nyumbani utashangaa unaitwa ukale na mtu usiyemjua. Muamini Mungu unaweza kutembea ukaenda kuokota pesa ukiwa njiani"

And this guy ni anaweza kunena kwa lugha akiamua yaani sekunde hii unamsikia "Wachawi wakukalie mbali, nautuma moto ulio mkuu" sekunde inayofuata ni "Araeahsj akdkfjdjs aufifkdhs gyudjdisjshydj" and then next second anatoka kwenye kunena anarudi kwenye kiswahili.
Kisha akiamua anaanza tena kunena kwa lugha.

Hizi dini za mlima wa moto wakati zinaanza ilifika kile kipindi cha kunena kwa lugha, nakumbuka aliyeanzisha hii tabia ni marehemu, na wengine wakaidakia. Ikawa kwamba kama hauongei vitu visivyoeleweka basi wewe siyo nabii.

Ni upuuzi tu. Now katika saikolojia inaelezwa kwamba ukiukumbatia sana uongo mwisho unaanza kuuamini. Hivyo Gwajima kuamini ana uwezo wa kufufua watu mpaka kujitangaza siyo bahati mbaya actually a nigga believes anaweza fufua mtu akija pigwa kibao cha shavu na reality ndiyo unaona hizo drama zimepungua ameswitch kwenye kuchamba watu.
 
Haha viongozi walikuwa wanavaa nguo nzuri za kiutumishi hata walimu wako vizuri katika kukuza ethics za utumishi lakini ndugu huyu dah🤔🤔🤔🤔
 
Imani bhana iache kama ilivyo[emoji23][emoji23][emoji23]Masanja anaaminika na waumini wake kuliko raisi anavyomuamin bodyguard wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui hua Kuna kauchawi flani?
 
ik kijamaa kinaangaika sana yawezekana ana milion 20 kaz yake n kudepost na kudraw for show off sku moja nlkua karbu na hotel anayofanyia maomb nliongeza umakin kumfatilia hakuna mchungaj wala nabii apo hata kwaya masta hakuna huyu n motvation spika tu aliekaril vfungu vya biblia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni rahisi sana kupiga hela kwa gia ya unabii kwenye jamii ambayo majority ni mafukara, naposema mafukara si wa pesa tu bali hata maarifa.
 
Kwa Sasa wakati tulionao tusimshangae nabii

Tuwashangae hao WAUMINI WAKE hao ndio wenye matatizo makubwa na wakuonewa huruma kabisa
Yaan mpaka nahisi nabii Tito alikosa sponsor tu nayeye angetusua [emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom