ivan1212
JF-Expert Member
- Mar 4, 2019
- 932
- 2,441
Majinga ndio yaliwayoNabii Clear Malisa alibebwa na malaika hadi Zimbabwe vijijini kabisa kufanyiwa impartation, Kisha akarudishwa bongo na malaika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majinga ndio yaliwayoNabii Clear Malisa alibebwa na malaika hadi Zimbabwe vijijini kabisa kufanyiwa impartation, Kisha akarudishwa bongo na malaika
Ok, mpe salami, mwambie Bujibuji Simba Nyamaume AnamsalimiaNi mwanangu Sana japo namfahamu kwa jina la exaud
NaMkuBali sana yule msela aiseeUhakika na mkweli ni Antony lusekelo
Nasikia jamaa ana nguvu sana ya Mungu, naomba mwenye kumfahamu vyema atufahamishe habari zake, maana Dar sasa ni Jiji la kinabii.
Nasikia anapatikana Mabibo Jeshini
Kuna upako aiseeeKwanini Zimbabwe ? Ila watu sijui hata ni nani anawashikia akili
Misikitini ndio nyumbani kwao sasa!YANapatikana makanisani tu misikitini hayapo hayo mapepo ya utambuzi?
Nguvu za Mungu zipo ndani yako ndiyo maana umefunuliwa siri hiyo. Wana mapepo ya utambuzi kwa njia ya kishirikina.Wafia dini mtanisamehe ila wote wanao jiita manabii au mitume , kwa sasa naona kama wasaka Tonge tu , wanatumia pepo la utambuzi kuhadaha watu .... na niseme ukweli wwngi wameamini na wataendelea kuwaamini ... hata humu wapo
Ni nguvu za kishirikina zinazotumika kutambua jambo. Ni sawa na ramli ya utambuzi.Pepo wa utambuzi ni nani?
Mabii wa mwisho alikuwa ni Yohana mabatizaji.Nabii walikuwepo enzi hizo, hawa wa sasa hivi ni wala sadaka tu
Hiyo aliyekupa habari za ‘nabii’, ndio kampa na habari zakoJamaa anaona sana. Alishahahi kuielezea historia ya familia yetu vizuri sana na Wala hamna mtu Dar anatujua vyema kiasi Cha kumpa habari zangu hizo, na alinipa tote hayo siku ya kwanza tu nilipokanyaga kanisani kwake
Zinduka, hizo ni nguvu za kishirikina. Mshirikana anaweza kwenda na kurudi Urusi au Ukraine kwa dk 0.Nabii Clear Malisa alibebwa na malaika hadi Zimbabwe vijijini kabisa kufanyiwa impartation, Kisha akarudishwa bongo na malaika
Afadhali wangeturoga tu bila kurorageka! Tatizo tayari tumerogeka.Na akili zimeshikwa kweli kweli .... wafrica sisi cjui nani katuloga
Hawa wa siku hizi miyeyushoMabii wa mwisho alikuwa ni Yohana mabatizaji.
Kuna siku naangalia Tv.. alikua anamtoa mtu pepo.. hilo pepo likawa linaongea kiingereza. Likajitambulisha kua ni lucifer ... Sasa hyo ngeli yenyew ilivyo broken.. nkasema hiv lucifer anaweza ongea brocken english namna hii. Toka siku ile huyu mtu namwangaliaga nasema dah... Halaf hapo waumin wanashangalia balaaa... Ni kama yule bushir kuna video et ana float hewan kwenye ngaz.. ipo youtube ichek...Miaka Kama mitatu iliyopita nilialikwa kanisani kwake ..kwangu alichemka mazima eti ananiambia "kazini kwako wiki ijayo boss wako atakupandisha cheo kikubwa" halafu akaniuliza umeajiriwa nkamwambia hapa nimejiajiri akasepa zake kwa mtu mwingine ..NAMWONA MSANII SANII SANA hata kipindi kile Cha corona imeanza akasema itaisha Mwezi ujao....inshort ni Nabii shillah type ..mpigaji tu wa mjini usiku anashinda sinza kwenye masaloon anapiga story na masela
Rakim mbona alishawahi kufunfisha hapa astral project? Kwani nao ni uchawi?Zinduka, hizo ni nguvu za kishirikina. Mshirikana anaweza kwenda na kurudi Urusi au Ukraine kwa dk 0.