Nabii Clear Malisa ni nani?

Nabii Clear Malisa ni nani?

Kuna utofauti mdogo sana kati ya nabii wa ukweli na nabii wa uongo...

Ukijimix tu unaangukia upande sio, watu wanasepa na nyota yako na unabaki kuishi duniani kama kiberiti tu...
 
Nasikia jamaa ana nguvu sana ya Mungu, naomba mwenye kumfahamu vyema atufahamishe habari zake, maana Dar sasa ni Jiji la kinabii.

Nasikia anapatikana Mabibo Jeshini
Kizazi cha sasa hivi kama ma farisayo na masadukayo yalivyo kuwa yanapinga Yesu Kristo katika namna alivyo kuwa akihudumu. Manabii, Mitume na huduma zingine wapo na wanatenda kazi , kama shetani anavyotumia watu kutenda Mungu muansilishi wa vyote nae anatumia watu wake alio waaandaa. Malisa anavyo huduma ( anahudumu kama modern Prophet ). Ila mafarisayo na masadukayo kizazi cha nyoka cha wakati huu wanatapinga, kama walivyo Muambia Yesu anatoa mapepo kwa Belzababu 😀😀
 
IMG-20220306-WA0015.jpg
 
Kwa hiyo Mungu hawezi kuyafanya ayafanyayo mganga?
Mkuu utofauti wa haya mambo ya spiritual ni mdogo mnooo. Ni Sawa na uchawi/ Majini na ushehe. Ni vitu viwili tofauti lakini ukimkuta mtu MSHENZI, kwenye ushehe anachanganya na uchawi wa majini Kwa kigezo cha USHARIFU. pamoja na uislam wangu Kuna kitu nimekin'gamua toka nlivyoanza kusoma vita u vinavyoelezea dini za kale. Uchawi ilikuwa ni sahemu a dini za kale. Ndio mana hata dini hiz za Sasa ukizichunguza vizur zitakuletea shida
 
Ukitaka kumjua nabii wa kweli muombe aisome nafsi yako, yaani unachowaza na mipango yako ulionayo....Shetani ana uwezo wa kuona future yako, mambo ya nyuma nk ila hana uwezo wa kujua kilicho ndani ya nafsi yako mpaka ukitamke au ukitende.....Hivyo nabii wa kweli wa Mungu anaunganishwa na nafsi yako.
 
Kwa hiyo Mungu hawezi kuyafanya ayafanyayo mganga?
Nashangaa watu wanamtukuza shetanj wakati Mungu anauwezo zaidi. Biblia inasema katika Waefeso 4:11-12 '' Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu; kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma itendeke, hata mwili wa KRISTO ujengwe; '' leo hii inakuwaje watu wanazimini huduma hizo tatu tu lakini za utume na unabii wanapinga. Na biblia haikusema msiamini kila nabii katika 1 Yohana 1:4 imesema
Wapendwa, msiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho mwone kama zimetoka kwa Mungu, kwa sababu manabii wengi wa uongo wametokea ulimwenguni, ina maana kuna nabii wa kweli pia. Muhimu ni kumuomba Mungu akupe roho ya utambuzi.
 
Neno jema sana hili
 
Kuna utofauti mdogo sana kati ya nabii wa ukweli na nabii wa uongo...

Ukijimix tu unaangukia upande sio, watu wanasepa na nyota yako na unapaki kuishi duniani kama kiberiti tu...
Ogopa vitambaa, Makoti Yao, mafuta na maji..... Utatofautishaje na uchawi na dawa za kiganga?? Unarushiwa koti unaambiwa pokeaaaaa!!! Baada ya muda biashara inaanza kuyumba...!! Baraka za Mungu ni za maongezeko... Sio za kudhoofisha. Tusome sana neno litatuweka huru!!
 
Jamaa anaona sana. Alishahahi kuielezea historia ya familia yetu vizuri sana na Wala hamna mtu Dar anatujua vyema kiasi Cha kumpa habari zangu hizo, na alinipa tote hayo siku ya kwanza tu nilipokanyaga kanisani kwake
Hiyo taarifa imeleta msaada gani kwako?
 
Jamaa anaona sana. Alishahahi kuielezea historia ya familia yetu vizuri sana na Wala hamna mtu Dar anatujua vyema kiasi Cha kumpa habari zangu hizo, na alinipa tote hayo siku ya kwanza tu nilipokanyaga kanisani kwake
Naandika kidogo sana...
Kuna DADA mmoja alikua rafk angu alinambia

Jumamos usiku alitoka kulala na MWANAUME
Asbh akaenda kanisani Kwa malisa...

Wonderful enough amefik kanisani wakati wa mahubiri akasimamishwa wew dada mwenye gaun jekundu njoo hapa mbele.....

Umetoka guest na MWANAUME muda huu ndipo ukaja hapa kanisani..
Dada alilia sana na akafanya sala ya Toba....
 
Kwa nini mnadanganywa kirahisi namna hiyo?

Hayo ni mapepo ya utambuzi,

Mtu mwenye mapepo hayo anaweza kukwambia kila kitu juu yako na akalenga mule mule!
Na roho wa Mungu anaweza fanya hivo vitu, cha msingi ni kuzitambua hizo roho.
 
Back
Top Bottom