Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Si kweliHiyo aliyekupa habari za ‘nabii’, ndio kampa na habari zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kweliHiyo aliyekupa habari za ‘nabii’, ndio kampa na habari zako
Si kweliMabii wa mwisho alikuwa ni Yohana mabatizaji.
AlibadiliMisikitini ndio nyumbani kwao sasa!
Kwani zile wasemaga kusomeana visomo we huwa unafikiri ni kitu gani?
Kwanini si kweli?Si kweli
Kizazi cha sasa hivi kama ma farisayo na masadukayo yalivyo kuwa yanapinga Yesu Kristo katika namna alivyo kuwa akihudumu. Manabii, Mitume na huduma zingine wapo na wanatenda kazi , kama shetani anavyotumia watu kutenda Mungu muansilishi wa vyote nae anatumia watu wake alio waaandaa. Malisa anavyo huduma ( anahudumu kama modern Prophet ). Ila mafarisayo na masadukayo kizazi cha nyoka cha wakati huu wanatapinga, kama walivyo Muambia Yesu anatoa mapepo kwa Belzababu 😀😀Nasikia jamaa ana nguvu sana ya Mungu, naomba mwenye kumfahamu vyema atufahamishe habari zake, maana Dar sasa ni Jiji la kinabii.
Nasikia anapatikana Mabibo Jeshini
Huyo ni mganga proo maxNasikia jamaa ana nguvu sana ya Mungu, naomba mwenye kumfahamu vyema atufahamishe habari zake, maana Dar sasa ni Jiji la kinabii.
Nasikia anapatikana Mabibo Jeshini
Kwa hiyo Mungu hawezi kuyafanya ayafanyayo mganga?Huyo ni mganga proo max
Mkuu utofauti wa haya mambo ya spiritual ni mdogo mnooo. Ni Sawa na uchawi/ Majini na ushehe. Ni vitu viwili tofauti lakini ukimkuta mtu MSHENZI, kwenye ushehe anachanganya na uchawi wa majini Kwa kigezo cha USHARIFU. pamoja na uislam wangu Kuna kitu nimekin'gamua toka nlivyoanza kusoma vita u vinavyoelezea dini za kale. Uchawi ilikuwa ni sahemu a dini za kale. Ndio mana hata dini hiz za Sasa ukizichunguza vizur zitakuletea shidaKwa hiyo Mungu hawezi kuyafanya ayafanyayo mganga?
Nashangaa watu wanamtukuza shetanj wakati Mungu anauwezo zaidi. Biblia inasema katika Waefeso 4:11-12 '' Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu; kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma itendeke, hata mwili wa KRISTO ujengwe; '' leo hii inakuwaje watu wanazimini huduma hizo tatu tu lakini za utume na unabii wanapinga. Na biblia haikusema msiamini kila nabii katika 1 Yohana 1:4 imesemaKwa hiyo Mungu hawezi kuyafanya ayafanyayo mganga?
Neno jema sana hiliNashangaa watu wanamtukuza shetanj wakati Mungu anauwezo zaidi. Biblia inasema katika Waefeso 4:11-12 '' Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu; kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma itendeke, hata mwili wa KRISTO ujengwe; '' leo hii inakuwaje watu wanazimini huduma hizo tatu tu lakini za utume na unabii wanapinga. Na biblia haikusema msiamini kila nabii katika 1 Yohana 1:4 imesema
Wapendwa, msiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho mwone kama zimetoka kwa Mungu, kwa sababu manabii wengi wa uongo wametokea ulimwenguni, ina maana kuna nabii wa kweli pia. Muhimu ni kumuomba Mungu akupe roho ya utambuzi.
Mungu anaweza kufanya zaidi ya mganga!! Sema anafanya kupitia mtu anaemtaka lakin sio hawo tunawasikia wakilazimisha sadaka zetu mzeeKwa hiyo Mungu hawezi kuyafanya ayafanyayo mganga?
Ogopa vitambaa, Makoti Yao, mafuta na maji..... Utatofautishaje na uchawi na dawa za kiganga?? Unarushiwa koti unaambiwa pokeaaaaa!!! Baada ya muda biashara inaanza kuyumba...!! Baraka za Mungu ni za maongezeko... Sio za kudhoofisha. Tusome sana neno litatuweka huru!!Kuna utofauti mdogo sana kati ya nabii wa ukweli na nabii wa uongo...
Ukijimix tu unaangukia upande sio, watu wanasepa na nyota yako na unapaki kuishi duniani kama kiberiti tu...
Hiyo taarifa imeleta msaada gani kwako?Jamaa anaona sana. Alishahahi kuielezea historia ya familia yetu vizuri sana na Wala hamna mtu Dar anatujua vyema kiasi Cha kumpa habari zangu hizo, na alinipa tote hayo siku ya kwanza tu nilipokanyaga kanisani kwake
Msaada mkubwa sana. Nilijua wapi nakosea, nikarekebisha, sasa mambo yangu yamenyooka kama rulaHiyo taarifa imeleta msaada gani kwako?
Naandika kidogo sana...Jamaa anaona sana. Alishahahi kuielezea historia ya familia yetu vizuri sana na Wala hamna mtu Dar anatujua vyema kiasi Cha kumpa habari zangu hizo, na alinipa tote hayo siku ya kwanza tu nilipokanyaga kanisani kwake
Na roho wa Mungu anaweza fanya hivo vitu, cha msingi ni kuzitambua hizo roho.Kwa nini mnadanganywa kirahisi namna hiyo?
Hayo ni mapepo ya utambuzi,
Mtu mwenye mapepo hayo anaweza kukwambia kila kitu juu yako na akalenga mule mule!