Nabii Clear Malisa ni nani?

Nabii Clear Malisa ni nani?

Nimeskia story kwa mange kimambi kumbe mpigaji tu uyu
 
Kwa nini mnadanganywa kirahisi namna hiyo?

Hayo ni mapepo ya utambuzi,

Mtu mwenye mapepo hayo anaweza kukwambia kila kitu juu yako na akalenga mule mule!
Asante mkuu. Una neema kubwa sana kwa kuyatambua hayo.
 
huyu dogo ana nguvu sana aisee, kuna uzi niliweka humu umeondolewa faster, hata sijaelewa. kuhusiana na mkewe kupigwa na kupewa talaka na mahakama ya temeke bila yeye kuwepo. very interesting.
 
Nasikia jamaa ana nguvu sana ya Mungu, naomba mwenye kumfahamu vyema atufahamishe habari zake, maana Dar sasa ni Jiji la kinabii.

Nasikia anapatikana Mabibo Jeshini
Kwani huyu nabii Clear Malisa na Huyu Nabii Malisawa Ukombozi Ministry wanaungugu? Au ni mtu mmoja
 
Kuna utofauti mdogo sana kati ya nabii wa ukweli na nabii wa uongo...

Ukijimix tu unaangukia upande sio, watu wanasepa na nyota yako na unabaki kuishi duniani kama kiberiti tu...
aaaah maanina tofauti ni kubwa.

nabii wa ukweli asingekuwa anashika mike,asingekuwa na kanisa lake angewafata watu nyumba kwa nyumba,mtaa kwa mtaa.

nabii anajinadi kupitia ushuhuda wa mabua na mabango ya mikutano[emoji23]
mimi nawaambia,siku angetokea kiumbe mmoja tu,amsimamishe kiwete kweli,au afufue maiti moja tu.hakuna mtu atakayesalia dunia hii si mkristo.

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu utofauti wa haya mambo ya spiritual ni mdogo mnooo. Ni Sawa na uchawi/ Majini na ushehe. Ni vitu viwili tofauti lakini ukimkuta mtu MSHENZI, kwenye ushehe anachanganya na uchawi wa majini Kwa kigezo cha USHARIFU. pamoja na uislam wangu Kuna kitu nimekin'gamua toka nlivyoanza kusoma vita u vinavyoelezea dini za kale. Uchawi ilikuwa ni sahemu a dini za kale. Ndio mana hata dini hiz za Sasa ukizichunguza vizur zitakuletea shida
Kwa wenye hekima na uelewa ,umenena!
 
Kwani huyu nabii Clear Malisa na Huyu Nabii Malisawa Ukombozi Ministry wanaungugu? Au ni mtu mmoja
Siwajui baba. Ila nasikia mama yake Clear Malisa alikufa, ipokufa akampigigia simu mwanaye ambaye ni huyo Clear Malisa ili amfufue.
 
Kwanini Zimbabwe ? Ila watu sijui hata ni nani anawashikia akili
kwa wasiojua, chuo kikuuu mojawapo cha uchawi, kipo zimbabwe. pia, what I understand, baba yake wa kiroho ni yule tapeli mwenye rasta wa zimbabwe anayevaa vikaptura amejaa matatuu
 
Back
Top Bottom