Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Hiyo show ndogo sanaNa roho wa Mungu anaweza fanya hivo vitu, cha msingi ni kuzitambua hizo roho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo show ndogo sanaNa roho wa Mungu anaweza fanya hivo vitu, cha msingi ni kuzitambua hizo roho.
Wanajiita manabii wote ni wapigajiNimeskia story kwa mange kimambi kumbe mpigaji tu uyu
Asante mkuu. Una neema kubwa sana kwa kuyatambua hayo.Kwa nini mnadanganywa kirahisi namna hiyo?
Hayo ni mapepo ya utambuzi,
Mtu mwenye mapepo hayo anaweza kukwambia kila kitu juu yako na akalenga mule mule!
mkewe kamuanika, ila anapambana sana kuinyamazisha. hata huu uzi hapa kuna uwezekano ukafutwa.Nimeskia story kwa mange kimambi kumbe mpigaji tu uyu
Kwani huyu nabii Clear Malisa na Huyu Nabii Malisawa Ukombozi Ministry wanaungugu? Au ni mtu mmojaNasikia jamaa ana nguvu sana ya Mungu, naomba mwenye kumfahamu vyema atufahamishe habari zake, maana Dar sasa ni Jiji la kinabii.
Nasikia anapatikana Mabibo Jeshini
aaaah maanina tofauti ni kubwa.Kuna utofauti mdogo sana kati ya nabii wa ukweli na nabii wa uongo...
Ukijimix tu unaangukia upande sio, watu wanasepa na nyota yako na unabaki kuishi duniani kama kiberiti tu...
Kutoka ipogolo mdogo ake reganNi mwanangu Sana japo namfahamu kwa jina la exaud
Labda kwenye kipengele Cha pombe kali anaweza kutusaidia Ipi ni finestUhakika na mkweli ni Antony lusekelo
Kwa wenye hekima na uelewa ,umenena!Mkuu utofauti wa haya mambo ya spiritual ni mdogo mnooo. Ni Sawa na uchawi/ Majini na ushehe. Ni vitu viwili tofauti lakini ukimkuta mtu MSHENZI, kwenye ushehe anachanganya na uchawi wa majini Kwa kigezo cha USHARIFU. pamoja na uislam wangu Kuna kitu nimekin'gamua toka nlivyoanza kusoma vita u vinavyoelezea dini za kale. Uchawi ilikuwa ni sahemu a dini za kale. Ndio mana hata dini hiz za Sasa ukizichunguza vizur zitakuletea shida
Siwajui baba. Ila nasikia mama yake Clear Malisa alikufa, ipokufa akampigigia simu mwanaye ambaye ni huyo Clear Malisa ili amfufue.Kwani huyu nabii Clear Malisa na Huyu Nabii Malisawa Ukombozi Ministry wanaungugu? Au ni mtu mmoja
Hivi shilla aliishia wapi?!Ni ndgu wa damu na nabii shilah
kwa wasiojua, chuo kikuuu mojawapo cha uchawi, kipo zimbabwe. pia, what I understand, baba yake wa kiroho ni yule tapeli mwenye rasta wa zimbabwe anayevaa vikaptura amejaa matatuuKwanini Zimbabwe ? Ila watu sijui hata ni nani anawashikia akili