Nabii Flora wa Mbezi Beach

Nabii Flora wa Mbezi Beach

Status
Not open for further replies.
Daah Nabii tito yule aliyekuwa posta? Ye kila kitu halali? Yupo wapi siku hizi? Ndo siku hz anajiita yesu?
 
Kila mtu TANZANIA ana uhuru wa kuabudu,na ruhusa ya kuanzasha makanisa ipo....La msingi hili,ikiwa wakristu hatujaona kama anmhubiri mwingine zaidi ya YESU,wamemwacha,Ila katika hili mtu mzima asiingiliwe,atafunguka pale aonapo huyu sio nabii ni pepo,sie wakristo tumuangalie na kumsikiliza ila tutumie saaana akili kupembua haya makanisa yetu,ambayo mengi huhubiri pesa,Padri/Askofu tajiiiiri,waumini maskini,yaani ni NGO tu....tufumbue macho,kuna faida katika hili kuwa na makanisa mengi kwa wakriso na Hasara pia,kila mtu aombe Mungu amfungulie ukweli.
 
Mimi siku zote napingana na huduma za manabii wa kitanzania.
1.Kwanza wanalenga kutajirika wao tu.
2.Wanapata pesa nyingi lakini hawawasaidii masikini.
3.Kuwaponda watumishi wenzao.
4.Kuhubiri sadaka kama ndio kitu pekee Mungu anachokiangalia kwa Mwanadamu.
Mengine wadau mnayo mtayaongea.

Tujifunze huduma ya T.B.Joshua waumini wanasaidiwa vitu mbalimbali. vijana wanapewa mikopo. masikini wanapewa mitaji na mambo mbalimbali yanatolewa. Hata misaada ya chakula inatolewa kwa Dini zote bila ubaguzi. Lakini Bongo Nabii akipata sadaka anakimbilia kununua Range Rover Sport.
 
M/Mungu atamuuliza hiyo siku ya ufufuo.....'HIVI NA WEWE KWELI NI KATIKA MANABII NILIOWATUMA KWA WATU WANGU?'
 
k
Kkwa mujibu wa Qur'an, Mwenyezi Mungu anasema hajawahi kutuma Nabii Mwanamke !

Sio Qur'an hata kwenye Biblia Yesu hakuwahi kuwa na mtume mwanamke na hata kabla ya Yesu Ukisoma Agano la kale wale wote waliotumiwa na Mungu waliuwa wanawake.me ni mwanake lakini siungu kabisa hii kitu
 
flora1.jpg

Pamekua na makanisa mengi ambayo watu wanakimbilia kupata huduma za kiroho na kimwili. Na Nabii Flora ni mmoja wa manabii ambaye amefanikiwa kupata watu wengi

Huu ndo mwisho wa dunia.-umbuka imeandikwa kua kutatokea manabii wengi waongo,makanisa mengi,vita kati ya nchi na nchi na haya yote tuna yaona leo.Jipange sasa.
 
Sio Qur'an hata kwenye Biblia Yesu hakuwahi kuwa na mtume mwanamke na hata kabla ya Yesu Ukisoma Agano la kale wale wote waliotumiwa na Mungu waliuwa wanawake.me ni mwanake lakini siungu kabisa hii kitu
nani alitoa habari za kufufuka kwake kwa mara ya kwanza?
hata enzi hizo ilkuwa ngumu kupokea ushahidi wa mwanamke, lkn ilikuja kuhusu Yesu wanaume wote walifyata mkia, Ushahidi wa mwanamke ukakubalika. Mwanamke ni kiumbe chema kama mwanaume
 
Nakubaliana kabisa na wewe na hakuna niliposema mwanamke ni kiumbe ovu.Ila tu nina mtizamo wangu ambao unanaiambia asili itabaki kuwa asili
 
Nakubaliana kabisa na wewe na hakuna niliposema mwanamke ni kiumbe ovu.Ila tu nina mtizamo wangu ambao unanaiambia asili itabaki kuwa asili
sawa asili itabaki asili, lakini hebu tujinyumbulishe kidogo, dhambi ya mwanamke kuhudumu madhabahuni iko ktk eneo lipi hasa? Maana nimeona madhehebu mengi hasa ya Kikristo yakipinga mwanamke kusimamam madhabahuni, wengine wanatumia nyaraka za Paulo, ok, siwapingi lkn kosa liko wapi akisimama? Hebu ndg yangu Chriss nisaidie ktk hili.
 
Da kweli umeuliza kistaarbu mpaka nashindwa nikujibu nini natamani ningekwambia sababu zangu mimi kama mimi lakini najua zitaamsha mjadala mkali so tuache tu asili ichukue njia yake
 
flora1.jpg

Pamekua na makanisa mengi ambayo watu wanakimbilia kupata huduma za kiroho na kimwili. Na Nabii Flora ni mmoja wa manabii ambaye amefanikiwa kupata watu wengi

Amejichubua? Au ni mzungu?
 
Yesu Kristo hakuja duniani kuleta ukatoliki, uprostestant, usabato wala upendekoste, bali 'UFALME WA MUNGU'! Tatizo letu tunahangaika na madhehebu na watu na kukiacha kile Bwana wetu Yesu Kristo alikifia Msalabani...! Tuombe Mungu atufungue macho yetu ya Rohoni tuweze kujua kweli yake, AMINA.
 
huyo ndiye anayewaambia wanawake watajifungua bila uchungu? ni wazi kuwa Mungu alipotoa adhabu pale eden wakati wati ule wa Adam na Hawa akiwaambia kuwa mwanamke atazaa kwa uchungu wakati huo huo mwanamume atakula kwa jasho sasa huyu nabii anayeipinga amrki ya Mungu anatumwa na nani kama sii shetani? kazi kwenu enyi watu wa mapokeo msioifuata Biblia
 
Nakumbuka mzee wa upako aka transformer alimtukana sana siku moja. Hata hivyo hizi ni biashara za watu
 
Huyo sio Nabii.
Hakuna unabii tena baada ya Nabii Muhammad.
Nabii Muhammad SAW ni nabii wa Mwisho.

Hakika muammad alikuwa nabii wa mwisho wa kizazi chake. Maana waamini aliowaacha hawana hamu zaidi ya kumwaga damu. Leo watu wake wa boko-haram wamewaua watu wake wengine 45 wakiwa msikitini! Hakika hakuna nabii dizaini ya muhammad. Waamini wake wakimkosa kafiri muisrael, watamtafuta kafiri mkristo wakiwakosa wote watamtafuta kafiri muislam mradi waone damu! hakika muhammad angekuwepo leo angekufa kwa ukimwi kwa kupenda kuoa wanawake wengi!
 
flora1.jpg

Pamekua na makanisa mengi ambayo watu wanakimbilia kupata huduma za kiroho na kimwili. Na Nabii Flora ni mmoja wa manabii ambaye amefanikiwa kupata watu wengi

".....Politicians and Diapers needs to be changed for the same reason...:yuck:"
 
wakati yupo misri sasa yupo nchi ya ahadi amesafishwa na damu ya Yesu

Naunga mkono hoja mkuu!
Japo(mara nyingi tunapishana maoni, lakini huwa na'appreciate' uzito wa hoja zako! Lakini hiyo mironjo inadai 'track suit' mkuu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom