Nabii Geor Davie asababisha ndoa kuvunjika

I wish niwe nabii kuwaonesha watu mpango wa Mungu maishani mwao lakini huu ananikatisha tamaa
 
Kuna haja kwa mamlaka husika kupitia upya usajili wa hizi ministry (huduma za kiroho za watu binafsi) maana tunakoelekea si kuzuri.
 
inasikitisha sana na zaidi watu wanasikia ufirauni huu na bado wanaendelea kwenda tu....
 
Mimi ndio maana naapa, nitakufa au kufia katika kile ninachokiamini, na ndani ya dini ambayo ndio niliwakuta wazazi wangu wakiabudu, hadithi za ufirauni wa hawa manabii huwa zinanichefuaga mno kwa kweli, yule wa kuliamsha dude nae tuliyasikia yake, yule wa mwenge nae hivyo hivyo, yule aliyeahidiwa barabara na mkuu naye vivyo hivyo. Ni shida kwa kweli
 
Jibu swali wewe!
 
Dogo alikuwa anawapigia chabo wakiwa sebuleni baada ya milio ya mama.Mwanaume yeyote anaokoka juu ya kiuno kwenda juu na sio chini, dungulushi linasoma kama kawa.Usikibali mke wako awe malaya wa kiroho, kutwa kuchwa kwenye mahema ya maombezi na maombi.
 
Kha kumbe hii mada niliandika mimi [emoji23].. Video hii hapa
Your browser is not able to display this video.
 
Usikibali mke wako awe malaya wa kiroho, kutwa kuchwa kwenye mahema ya maombezi na maombi[emoji817][emoji818]
 
Kama una familia yako mnaishi kwa amani then mnaanza kuhangaika na haya makanisa ya mwendokasi mara nyingi lazima mjikute kwenye matatizo ingawa mwanzoni mtajiona mmeona mwanga!

Wengine "wakishaokoka" wanashawishi mpaka wazee wao walioishi kwa amani miaka mingi hadi uzee anaanza mahangaiko ya kiroho na hata kufa mapema zaidi sababu ya mahangaiko. Tuwe makini sana na haya makanisa! Usichotwe na miujiza tu, muombe Roho Mtakatifu akuongoze kabla mihemuko ya kiroho haijakupanda.
 
wewe utakua ndio Pamela, maana umetetea ufuska na umalaya hata wa huyo Nabii, sasa mtoto wako keshatoa ushahidi ndoa imevunjika na hupati kitu
 
kumbe hii story ni ya miaka 8 iliyopita (oktoba 2014) na Pamela kaachwa na wote, sijui km Prado lipo
 

Amen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…