greybakuza
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 897
- 1,276
Naomba kuufufua mjadala huu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo Baba Nisher mwenyewe huyu mkuu. Mchunga kondoo wa Bwana.Si ndo baba Nisher huyu au
Jibu swali wewe!Ufahamu wako ukirejea ndo utaelewa. kwa sasa hutaweza kwa kuwa nimfuasi wa hao matapeli.kwa kukusaida tu kanisa lazima iwe taasisi na sio mali ya mtu binafsi.Siku hizi manabii wengi wa uongo wametokea na kudanganya watu wengi huku wakizidi kuishi maisha ya anasa wakati waumini wao wakizidi kuwa maskini na watumwa wao.
Dogo alikuwa anawapigia chabo wakiwa sebuleni baada ya milio ya mama.Mwanaume yeyote anaokoka juu ya kiuno kwenda juu na sio chini, dungulushi linasoma kama kawa.Usikibali mke wako awe malaya wa kiroho, kutwa kuchwa kwenye mahema ya maombezi na maombi.Mahakama ya hakimu mkazi jijini Arusha leo imevunja rasmi ndoa ya bibi Pamela na mumewe baada ya kuthibitika pasi na shaka kuwa alikuwa na mahusiano nje ya ndoa na nabii Jodevi wa ngurumo za upako wa jijini Arusha.
Mtoto wa wanandoa hao mwenye umri wa miaka 15 ndiye aliyetoa ushadihi wote ukiwemo wa nabii kufika nyumbani na kupelekewa juice kwenye gari yake yenye vioo vyeusi na kukaa humo kwa muda mrefu na mamaake pia nabii kufika nyumbani usiku baba akiwa hayupo na kuambiwa akalale huku nabii akibaki na mama sebuleni muda mrefu akifanyiwa maombi maalum
Vile vile ushahidi na msg za simu na kwenye laptop na mambo mengine mengi yamethibitisha pasi na shaka mahusiano ya wawili hao na hatimaye mahakama kuamua kuvunja ndoa hiyo takatifu
Chanzo: Wapo radio
=====================================================================================================================
CHANZO: Habari Leo
Kha kumbe hii mada niliandika mimi [emoji23].. Video hii hapaDogo alikuwa anawapigia chabo wakiwa sebuleni baada ya milio ya mama.Mwanaume yeyote anaokoka juu ya kiuno kwenda juu na sio chini, dungulushi linasoma kama kawa.Usikibali mke wako awe malaya wa kiroho, kutwa kuchwa kwenye mahema ya maombezi na maombi.
Usikibali mke wako awe malaya wa kiroho, kutwa kuchwa kwenye mahema ya maombezi na maombi[emoji817][emoji818]Dogo alikuwa anawapigia chabo wakiwa sebuleni baada ya milio ya mama.Mwanaume yeyote anaokoka juu ya kiuno kwenda juu na sio chini, dungulushi linasoma kama kawa.Usikibali mke wako awe malaya wa kiroho, kutwa kuchwa kwenye mahema ya maombezi na maombi.
Huyu mtoto ndio shujaa wangu katika hii issue. Kamrudishia baba yake amani ya moyo.Ni shiidaa kwa hiyo nabii alikuwa anatabili mambo ya ndani zaidiiiiiiii!, na mtoto ameamua kumchomea mama yake!
wewe utakua ndio Pamela, maana umetetea ufuska na umalaya hata wa huyo Nabii, sasa mtoto wako keshatoa ushahidi ndoa imevunjika na hupati kituNdoa ya Winstone lota na Pamela Geoffrey(sio Godfrey) haikua sahihi mbele za Mungu, na aliyeivunja sio GeorDavie Bali ni Mungu.....na ingetakiwa ivunjike muda mrefu uliopita ila ni kwa uvumilivu wa Pamela ndo ikafika hio miaka 8.
anaejuahao wawili vizuri basi atapita tu na kucheka comment zenu, mkae kumsubiri mtoto wa hawa wawili aliyesema hizo habari miaka kumi ijayo kama atasimama na hayo maneno yake. Time will tell.
judge aliyeamua hio kesi kalaaniwa tayari.... Based in the fact that hakuna haki kwa wanawake....kabisa and without a doubt amehongwa.
mumuache Pamela, she has the right to leave abusive relationship and GeorDavie has nothing to do with their failed marriage.
get a life people and be busy with your business
kumbe hii story ni ya miaka 8 iliyopita (oktoba 2014) na Pamela kaachwa na wote, sijui km Prado lipoHuyu Pamela amekosa adabu sana, alikuwa ndio katibu wa kanisa pale ngurumo, siku za ibada kuna viti rasmi mbele vya wakuu wa kanisa na yeye bila aibu mume wake nae pamoja na watoto walikuwa wanasali hapo, nabii anawashika mkono kuwabariki kumbe anammegea jamaa mke wake, sasa akawa na mazoea ya kwenda nyumbani kwa nabii maana ni maeneo ya kisongo zilipo ofisi za kanisa, nabii anaeneo kubwa sana na analiita mjini mwa Daudi, mke wa nabii ana mkaribisha Pmela akijua ni mfanyakazi na mlokole mwenzao anamuacha aongee na nabii, siku moja wakajidai wanaenda kuongelea garden ya mji wa daudi mke kwa wema kapika chai apeleke kwa kuwa ilikuwa kipindi cha baridi, he, kufika haoni watu kuangalia kwenye gari akaona mtikisiko kumbe jamaa wanatiana humo ndani ya gari, ndio mke akaondoka. Baada ya hayo mume wa pamela akamwambia mke wake aache kusali hapo hata kama anakataa hawana uhusiano na nabii, pamela akawa mkorofi na akwa anaenda kusali hapo mume acha kwenda kanisani, ziara za Israel pamela akawa anaenda na Nabii bila kujali mume wake, akaanza kupigwa na mume, nabii akampangishia nyumba maeneo ya njiro na kumfanya kama nyumba ndogo kabisa, jeuri ya hela ndio ilimfanya pamela amdharau mume wake, kwni mume ni dereva wa watalii ingawa walikuwa na maisha mazuri tu na yumba nzuri ya kuishi walishajenga. Pamela akawa bosi pale GEORDIVIE MINISTRY, bila aibu wala kujali minong'ono. Hiyo ndoa alishavunjika siku nyingi talaka ndio ilikuwa bado.BABA NABII BAADA YA KUTOSHEKA NA PAMELA, AKAMUUNDIA ZENGWE KWAMBA MUMUO ANANICHAFUA SANA BORA UACHE KAZI HAPA NA UFANYA BIASHARA ZAKO NYINGINE, AKAACHA KAZI KUMBE NABII AALIKUWA ANAMTOA KIJANJA KWENYE HIMAYA YAKE, NABII KAMUACHA JUMLA PAMELA. SANA SANA KAAMBULIA PRADO TU. KAKOSA WANAUME WOTE WAWILI.
Kha kumbe hii mada niliandika mimi [emoji23].. Video hii hapaView attachment 2427797
Kama una familia yako mnaishi kwa amani then mnaanza kuhangaika na haya makanisa ya mwendokasi mara nyingi lazima mjikute kwenye matatizo ingawa mwanzoni mtajiona mmeona mwanga!
Wengine "wakishaokoka" wanashawishi mpaka wazee wao walioishi kwa amani miaka mingi hadi uzee anaanza mahangaiko ya kiroho na hata kufa mapema zaidi sababu ya mahangaiko. Tuwe makini sana na haya makanisa! Usichotwe na miujiza tu, muombe Roho Mtakatifu akuongoze kabla mihemuko ya kiroho haijakupanda.