Nabii Geor Davie asababisha ndoa kuvunjika

Nabii Geor Davie asababisha ndoa kuvunjika

Cha ajabu ni kwamba hawa manabii fake kila kukicha wana ongezeka na wanapata wafuasi wengi. Sijui ni umasikini au elimu ndogo waliyonayo hawa kondoo. Si maanishi elimu ya shule maana wengine ni ma proffesor ila wakisha ingizwa huko wanakuwa brain washed utafikiri kondoo wanyama. Hawataki kufikirisha bongo zao. Kila kitu mchungaji kasema 1, 2, 3....

Mimi ni free thinker,
 
mahakama ya hakimu mkazi jijini arusha leo imevunja rasmi ndoa ya bibi pamela na mumewe baada ya kuthibitika pasi na shaka kuwa alikuwa na mahusiano nje ya ndoa na nabii jodevi wa ngurumo za upako wa jijini arusha
mtoto wa wanandoa hao mwenye umri wa miaka 15 ndiye aliyetoa ushadihi wote ukiwemo wa nabii kufika nyumbani na kupelekewa juice kwenye gari yake yenye vioo vyeusi na kukaa humo kwa muda mrefu na mamaake pia nabii kufika nyumbani usiku baba akiwa hayupo na kuambiwa akalale huku nabii akibaki na mama sebuleni muda mrefu akifanyiwa maombi maalum

vile vile ushahidi na msg za simu na kwenye laptop na mambo mengine mengi yamethibitisha pasi na shaka mahusiano ya wawili hao na hatimaye mahakama kuamua kuvunja ndoa hiyo takatifu

chanzo: Wapo radio

ila mzee wa upako anasema "chunga sana na wahubili wanao jiita manabii" ingawa wote ni walewale
 
Pamela Belinda

lgq3px46mAQAAAABJRU5ErkJggg==


JVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACJVACLxD4D8ae3ephvkNUAAAAAElFTkSuQmCC


q4LvevljUHxHidfzTmImGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhgYIKBCQYmGJhg4G0x8P8Cl8wkOS43iL4AAAAASUVORK5CYII=
 
mchungaji anajilia kondoo wake walionona....oohh haleluyah!!!!
 
Huyu jamaa anatejiita Geo Devil ni hatari tupu....

Sishangai maana hata mtoto wake Producer wa muziki Nisher ni mtoto wa nje...

Huyu jamaa kwa kifupi ni muhuni...Na watu sijui kwann hawastukii utapeli huu...Wanakuwa kama wamefungwa akili zao..
 
Huyu jamaa anatejiita Geo Devil ni hatari tupu....

Sishangai maana hata mtoto wake Producer wa muziki Nisher ni mtoto wa nje...

Huyu jamaa kwa kifupi ni muhuni...Na watu sijui kwann hawastukii utapeli huu...Wanakuwa kama wamefungwa akili zao..

No Nick aka Nisher si mtoto wa Nje ndio first born wake!!
 
Sifa ya mitume na manabii wa uongo wana JINI MAHABA; kama waganga wa kienyeji.
Mmoja maarufu, wanamwita "ZIPU MKONONI" !
 
Ni shiidaa kwa hiyo nabii alikuwa anatabili mambo ya ndani zaidiiiiiiii!, na mtoto ameamua kumchomea mama yake!
 
GeordAvie amewapumbaza akili waumini wake wamekuwa mazuzu malimbukeni na usomi wao woootee hawana akili hatA moja rudini kwenye madhehebu yenu ya awali na muendelee kuishi bila dhambi kjsaidia yatima wajane wagonjwa na wote wenye shida ndo matendo yanayokuweka kafibu na Mungu na mujiepushe na dhambi kwenda kusali kwa hao manabii feki ni kijichafua Mungu yuko popote pale ni wewe tu na imani na matendo yako
 
Mwamini Mungu wako tu fuata njia ya haki na jiepushe na dhambi, imani safi ni kutazama wagonjwa kusaidia yatima na wajane na kujilinda na dunia usitende dhambi

Utaniuliza dhambi ninini?
Dhambi ni tendo lolote lile ambalo lina madhara kwako na kwa wengine, linaharibu moyo na kutibua fikara, linaleta matokeo hasi na mambo yote ya jinsi hiyo


MENGINE WAACHIE WALIMWENGU

Well said, Injili lazima ihubiriwe na watu lazima wamjue Mungu wa kweli. Haijalishi kama wewe au mtu flani atakengeuka neno la Mungu ni la kuaminiwa na bado linatenda kazi.

Kama hujaokoka, fanya uamuzi leo. Sema moyoni mwako kwamba Yesu nakuhitaji uje ndani yangu, uniokoe na unifanye upya kuwa mtoto wako. Hakika Yesu atajidhihirisha kwako na atakusaidia kujibu maswali yako yote.
 
Back
Top Bottom