Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mahakama ya hakimu mkazi jijini arusha leo imevunja rasmi ndoa ya bibi pamela na mumewe baada ya kuthibitika pasi na shaka kuwa alikuwa na mahusiano nje ya ndoa na nabii jodevi wa ngurumo za upako wa jijini arusha
mtoto wa wanandoa hao mwenye umri wa miaka 15 ndiye aliyetoa ushadihi wote ukiwemo wa nabii kufika nyumbani na kupelekewa juice kwenye gari yake yenye vioo vyeusi na kukaa humo kwa muda mrefu na mamaake pia nabii kufika nyumbani usiku baba akiwa hayupo na kuambiwa akalale huku nabii akibaki na mama sebuleni muda mrefu akifanyiwa maombi maalum
vile vile ushahidi na msg za simu na kwenye laptop na mambo mengine mengi yamethibitisha pasi na shaka mahusiano ya wawili hao na hatimaye mahakama kuamua kuvunja ndoa hiyo takatifu
chanzo: Wapo radio
Umekosea anaitwa Mheshimiwa Mstahiki Baba Nabii wa Karne, Ngurumo ya Upako Nabii na Mtume Goerdavie
mchungaji anajilia kondoo wake walionona....oohh haleluyah!!!!
Wajinga ndio waliwao.
Mkuu huu ndo yule mwenye ulinzi kama wa maraisi wa nchi au?
Huyu jamaa anatejiita Geo Devil ni hatari tupu....
Sishangai maana hata mtoto wake Producer wa muziki Nisher ni mtoto wa nje...
Huyu jamaa kwa kifupi ni muhuni...Na watu sijui kwann hawastukii utapeli huu...Wanakuwa kama wamefungwa akili zao..
No Nick aka Nisher si mtoto wa Nje ndio first born wake!!
Kwani huyo nabii ana wake wangapi?Yap...Ni first born kwa yule mke wake wa kwanza...
Mwamini Mungu wako tu fuata njia ya haki na jiepushe na dhambi, imani safi ni kutazama wagonjwa kusaidia yatima na wajane na kujilinda na dunia usitende dhambi
Utaniuliza dhambi ninini?
Dhambi ni tendo lolote lile ambalo lina madhara kwako na kwa wengine, linaharibu moyo na kutibua fikara, linaleta matokeo hasi na mambo yote ya jinsi hiyo
MENGINE WAACHIE WALIMWENGU