Nabii GeorDavie: Makonda utakula mema ya nchi mpaka utanikumbuka

Nabii GeorDavie: Makonda utakula mema ya nchi mpaka utanikumbuka

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Wakuu

Nabii Mkuu Dkt. GeorDavie, ametoa neno kwa wakazi wa Mkoa wa Arusha na kwakipekee kwa Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Paul Christian Makonda akimuahidi kula mema ya nchi.

 
Huyu ameanz kuw chawa sasa
 
Maombi bila kazi,ni Bure.
Bila kuondoa udini,ukabila,ukanda,wizi,ufisadi ni Bure.
Maombi bila kujadili katiba na kuachana na Muungano ni Bure!
 
Back
Top Bottom