Nabii GeorDavie: Yesu akirudi leo atataka kutumia gari yangu na atataka nimfuate Airport

Hivi hukul nikitukana si watanifungia?
Nisaidieni kumtukana.
Hawa manabii ni vipofu kweli. Yesu hata kuligusa gari lake hawezi maana ni chafu, Limetengenezwa na mikono michafu. Hawa hawamjui Yesu
 
Kwa kumsaidia tu Yesu alivaa kanzu sizani kama akija atavaa suti kama yeye,pili alifuga ndevu sizani kama akija atakuwa amenyoa stairi kama yeye, alisari kwa kusujudu yaani paji lake kugusa chini,sizani kama akija atakuwa anapiga makelele na kujisifia kama yeye, Sasa sijui Yesu ataenda kusali wapi?
 
Hili jitu punguani sana, Yesu aje na ndege toka wapi?
Huyo rubani wa ndege ya Yesu ni nani?
Hata mimi.,... Basi tuun nisuje kula ban ya mwaka hapa.
 
Pumbavu huyu
 
Huyu MWEHU siyo Mkristu, ni MPAGANI fulani au MPINGA KRISTU anayechezea Biblia.

Kazi yake kubwa kutoa makafara. Mwaka huu mwanzoni kazika mjukuu na mwanaye. Shetani mkubwa huyu, MSIMSIKILIZE
Paganizi kabisa 😂
 
Sasa nabii ndo huyu anakosa maarifa kiasi hichii, jesus akirudi aji kubembeleza tena watu eti atembe na usafiri😂, na wakati huo huo bible inasema kila jicho litamuona ? Anarudi na utukufu wake full maana ake kila goti litapiwaa milima itaukimbia uso wake? Sasa milima iporomoke wa vibration due to power we upakie kwenye gari kwa mara nyingi joji umejivua nguo
 
Hivi nikikutukana utasema nimekuonea? Hivi huo ujasiri wa kusema wewe umeumbwa na huyo mzungu mnayemuita yesu umeutoa wapi? Hivi nyinyi watu weusi akili zenu zitarudi lini na kuanza kujitambua? Yaani mpaka Leo Bado mpo kwenye minyororo ya utumwa? Aibu naona Mimi.
 
Yeye na nyie mnaoamini mtanyakuliwa mawinguni wote ni wale wale!
 
Yesu hakumuumba Adam, Mungu alimleta Yesu baada ya kumuumba Adam, hivyo Yesu si Mungu ni mtoto wa Mungu.
 
Yeye katupa jiwe gizani huku akijua kabisa wanakondoo hawana akili yoyote hivyo lazima wapandishe mori 😁😁

Hata walioleta hizi dini hawakutegemea wapumbavu ni wengi kiasi hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…