Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi
Tukubali tukatae watu hatulingani, kuna watu wana nguvu fulani za unabii kama wa upako fulani, wakilisema jambo, linakuja kutimia!, kauli zao ni ama zina power ya umbaji ndani yake, wakilisema jambo kauli zao zinaliumba hilo jambo linakuja kutokea, ama wanakuwa wamepewa maono, wanayasema na yanatokea kweli.
Mmoja wa watu hawa ni Godbless Lema, kwanza kitendo tuu cha kumpa mtoto jina la baraka Godbless, jina hili kwa Kiswahili ni Mungu Mbariki,jina hilo linakuwa limeachia upako fulani,mwenye jina hilo anabarikiwa!。 Godbless Lema ni Baraka!
Ila kama kawaida nabii huwa hakubaliki nyumbani!, inawezekana huyu Godbless Lema ni kama nabii fulani ?.
Alianza na ile ndoto yake fulani, ikatimia!, akaja na issue ya Sabaya, ikatimia!, Sasa amekuja na issue ya Makonda, je itatimia?.
Msikilizeni hapa
View: https://youtu.be/nGgpxUj3JLc?si=QckVGgJFSWHoypzM
Mimi kwa upande wangu manabii wa aina hii nimewahi kuwazungumza sana humu.
Hata hivyo nashauri, Lema akisema kitu, asipuuzwe!, ni
muhimu kwa mhusika kuchukua hatua for doing the right thing kabla ya la kumfika halijamfika, ila pia kama wana ushahidi usiotia shaka wa uhusika wa huyu dogo kwenye lile shambulizi, si wauweke mezani wote tuuone, au wa upeleke kunakohusika ili uchunguzi wa kijinai uanze?.
Paskali

- Thread 'Tanzania tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!' Tanzania tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!
- Thread 'Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani. Je, Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika' Ama kweli nabii hakubaliki nyumbani. Je, Magufuli ni nabii? Tanzania wanambeza, Afrika wanamlilia! Tanzania yapigiwa mfano Magufuli awe Rais wa Afrika
- Thread 'Nabii Huwa Hakubaliki Nyumbani!, JK Ameanza Kukubalika?!. Watch ITV Leo Saa 3:45 Usiku Huu!' Nabii Huwa Hakubaliki Nyumbani!, JK Ameanza Kukubalika?!. Watch ITV Leo Saa 3:45 Usiku Huu!