Nabii Hakubaliki Nyumbani! Godbless Lema ni Nabii? Alianza na Ndoto, Ikatimia!, Akaja na Sabaya, Ikatimia!, Sasa ni Makonda, Itatimia? Asipuuzwe!

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Sasa Ndugai kimemkuta kitu gani zaidi ya kumyanganywa uspika?

Ndugai mpaka muda huu yuko kwenye mfereji wa ulaji na mwakani si ajabu akarudi akiwa na cheo kipya kabisa
Unauliza swali wakati majibu unayo. Wewe unaangali mfereji wa ulaji wakati mwezako anaangallia heshima aliyoikosa katika jamii popote pale atakapopita, maana suala la fedha hata yeye anajua kwake sio issue, kwa kuwa wewe ni lofa lazima utawaza hela.
 
Baba yangu pascal usijitie aibu kwa kukosa teuzi ...........wewe ni great thinker mkubwa sana nakuchukulia kama role model wangu kweli kabisa kutoka rohoni unamuita huyo mlevi nabii?? Hata maandiko hakuna sehemu waliwahi kuorodhesha kama kulikuwa na nabii mlevi..........huyo mtabiri wa taifa marehemu sheh yahaya hakuweza kutabiri kifo chake japo alitabiri vitu vingi na baadhi vikatokea kweli............sasa huyu nabii koko kaupata wapi huo ufunuo wa kumuombea mabaya mwenzake japo wote hapa duniani tutakufa..............
 
Kuhusu Paul Makonda na uchafu wake, hiyo haina ubishi na wala hata sio ishu ya kuhusisha unabii wowote bali ndiyo hali halisi inayomkabili mbeleni asipojua namna ya kurekebisha makosa yake...

Huyu (Paul Makonda), kiburi chake kiasi cha kushindwa kutengeneza mahusiano yake na Mungu, ni lazima ataingia nacho jela huyo muda si mrefu...!
 
πŸ™‹β€β™‚οΈπŸŽ―πŸ‘πŸ‘ŒπŸ‘ŠπŸ‘πŸ€πŸ™
 
Kwa ishu ya Paul Makonda wala huhitaji nabii mlevi au mtakatifu sana (kama wewe)..

Huyo ndugu yako Paul Makonda, atakwenda Jela tu maana jinai yake ni halisi na dhahiri mno...

Mwambie aache kiburi. Anyenyekee kwa Mungu na aonane na Tundu Lissu amweleze ukweli, aombe radhi na kutubu na Mungu atampa tena amani yake...

Otherwise, ataweweseka sana na mwisho ataishia jela muda si muda...
 
Mshaurini Lema apunguze mihemko. Hawezi nabii akatoka CHADEMA. Kwanza nabii wao alikuwa ni Mch Msigwa ambaye unabii wake anautimiza sasa kwa kuelezea kiasi gani CHADEMA ni gari bovu lililopoteza mwelekeo
Kwa nembo hiiπŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»moja kwa moja mtu atarajie kikutoke nini mdomoni mwako kama sio uchafu huu ulioandika??
 
Huyo Lissu umemtoa wapi tena...?

It's Gobless Lema vs Paul Makonda...!!

By the way, wewe huyu Makonda alishawahi kukutatulia marinda ya suruali yako siyo...?

You are talking/writing like an idiot...!
 
Mkuu una amani ya moyo kweli ?
Kwa sababu nimemtaja lissu au?? Nikuulize mkuu wako wangapi waliozurumiwa haki zao na hawatajwi kama lissu?? Au ndio yale yale wanakufa sudan, congo ,Burundi mnakaa kimyaa wakifa gaza ooohh tuungane tusikubali kuonewa ..........double standards............... shame on u wote wanaharakati coco
 
Ulitakiwa useme ndio au hapana ?
Mbona hasira nyingi sana ?

Kunywa maji halafu lala
 
H uyo Lissu umemtoa wapi tena...?

It's Gobless Lema vs Paul Makonda...!!

By the way, wewe huyu Makonda alishawahi kukutatulia marinda ya suruali yako siyo...?

You are talking/writing like an idiot...!
Who is idiot?? Me or your mentor father.....listen........what gives you a reason to despise others if you even see them.......know yourself you pig.....do you think that when you have a quarrel with Makonda or you hate him, you want us all to hate him??
 
Weka kumbukumbu ya maneno yako.
 
Akienda jela na lile sambwanda lake lilivyonona sipati picha atagombewa kama mpira wa kona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…