Damaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 3,978
- 6,739
Alifanya mkuu ila alihubiri na vingine pia hakufanya miujiza ili apate pesa na utajiri! Yote yalikuwa ni kwa ajili ya utukufu wa Mungu.Kwani Yesu hakutenda miujiza mkuu? Unaijua vizuri biblia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alifanya mkuu ila alihubiri na vingine pia hakufanya miujiza ili apate pesa na utajiri! Yote yalikuwa ni kwa ajili ya utukufu wa Mungu.Kwani Yesu hakutenda miujiza mkuu? Unaijua vizuri biblia?
Amerudi kimyakimya mkuu. Alichofanya ni kujibadili jina kutoka Kiboko ya Wachawi na kujiita Kero ya Wachawi. Na safari hii anawaandalia notes watu wengine wakahubiri huku yeye akiwa amekaa pembeni.Una uhakika gan kama ni yeye?? Huyo si alihama mkuu
Vp wale wanaoenda kwa waganga hutaman kuwachapa mboko??Ningekuwa na mamlaka ningeenda kucharaza mboko vibaya sana wote wanaosali kwa hawa matapeli.
Enyi Watanzania ninani aliye waroga aise mnajua mnakera sana aise mpaka basi mbona wajinga wachache wanatufanya watanzania tuonekane mapoyoyo.
Ungeelewa huko ndiyo waislamu wamejazana usingeongea hapaIla wakristo pamoja na kujidai wao ndio wasomi nchi hii ila wanaliwa kindezi sana.
Nadharia tu, wakristo wanapigika kila kona kwa hao manabii koko, nigeria, afrika kusini, zimbabwe, tz, kenya, uganda kote huko wagalatia wanataabika kwa hawa manabii fekiUngeelewa huko ndiyo waislamu wamejazana usingeongea hapa
Utoaji wa sadaka sio upigaji mkuu. Wanaotoa pesa ya sadaka wanafanya hivyo kwa mujibu wa maandiko matakatifu.Alifanya mkuu ila alihubiri na vingine pia hakufanya miujiza ili apate pesa na utajiri! Yote yalikuwa ni kwa ajili ya utukufu wa Mungu.
Mkuu matangazo ya uganga yamepigwa marufuku na serikali. Kama huyo jamaa ni kama waganga wengine, basi anastahili kuadhibiwa kwa mujibu wa sheria. Pia redio ya mlimani wanastahili kufungiwa na TCRA au kupigwa faini kwa kumruhusu hiyo mganga kuwatapeli wananchi kupitia redio wanayoisimamia.Vp wale wanaoenda kwa waganga hutaman kuwachapa mboko??
Huyo jamaa ni mwanga kama wengine tuu
Kwamba iliuwe muumini mzuri wa mitume na nabii lazima uwe maskini.Ni kwa sababu maskini wana dhambi nyingi kuliko matajiri mkuu. Matajiri wanatumia utajiri wao kukwepa dhambi na maskini wanatumbukizwa kwenye dhambi na mapepo na umaskini wao.
Kwa kuwa wanatoa kwa ufahamu wao! Wasije kuliwa vichwaUtoaji wa sadaka sio upigaji mkuu. Wanaotoa pesa ya sadaka wanafanya hivyo kwa mujibu wa maandiko matakatifu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Vp wale wanaoenda kwa waganga hutaman kuwachapa mboko??
Huyo jamaa ni mwanga kama wengine tuu
Ndugu yangu, ni kama hujaelewa.I wish i could be IGP!
Muliro yuko wapi? Kazi kukunja matuta ya uso tu lakini kukamata majizi aaaanhh