Nabii Kiboko ya Wachawi amerejea nchini kimyakimya yupo Tabata Kimanga anapiga kazi kama kawaida; hebu msikilize mwenyewe hapa

Nabii Kiboko ya Wachawi amerejea nchini kimyakimya yupo Tabata Kimanga anapiga kazi kama kawaida; hebu msikilize mwenyewe hapa

Kwani Yesu hakutenda miujiza mkuu? Unaijua vizuri biblia?
Alifanya mkuu ila alihubiri na vingine pia hakufanya miujiza ili apate pesa na utajiri! Yote yalikuwa ni kwa ajili ya utukufu wa Mungu.
 
Una uhakika gan kama ni yeye?? Huyo si alihama mkuu
Amerudi kimyakimya mkuu. Alichofanya ni kujibadili jina kutoka Kiboko ya Wachawi na kujiita Kero ya Wachawi. Na safari hii anawaandalia notes watu wengine wakahubiri huku yeye akiwa amekaa pembeni.
 
Huyo anayeongea naye ni wa mchongo amepikwa na huyo mwingine wa Halo Halo ni Recorded talks wala sio live.
Ni matangazo live kupitia redio ya Mlimani FM inayomilikiwa na chuo cha UDSM, chuo cha umma.
 
I wish i could be IGP!

Muliro yuko wapi? Kazi kukunja matuta ya uso tu lakini kukamata majizi aaaanhh
Muliro yupo busy analinda wizi wa uchaguzi wa mitaa unaofanywa na CCM
 
Utapeli wa kidini hauchagui msomi au asiyesoma
Kweli kabisa mkuu. Hata msomi Dr Hussein Masha (PhD) alipigwa na kiboko ya wachawi na clip yake ipo. Huenda huyo jamaa hakuwahi kuiona.
 
Ningekuwa na mamlaka ningeenda kucharaza mboko vibaya sana wote wanaosali kwa hawa matapeli.

Enyi Watanzania ninani aliye waroga aise mnajua mnakera sana aise mpaka basi mbona wajinga wachache wanatufanya watanzania tuonekane mapoyoyo.
Vp wale wanaoenda kwa waganga hutaman kuwachapa mboko??
Huyo jamaa ni mwanga kama wengine tuu
 
Ungeelewa huko ndiyo waislamu wamejazana usingeongea hapa
Nadharia tu, wakristo wanapigika kila kona kwa hao manabii koko, nigeria, afrika kusini, zimbabwe, tz, kenya, uganda kote huko wagalatia wanataabika kwa hawa manabii feki
 
Alifanya mkuu ila alihubiri na vingine pia hakufanya miujiza ili apate pesa na utajiri! Yote yalikuwa ni kwa ajili ya utukufu wa Mungu.
Utoaji wa sadaka sio upigaji mkuu. Wanaotoa pesa ya sadaka wanafanya hivyo kwa mujibu wa maandiko matakatifu.
 
Vp wale wanaoenda kwa waganga hutaman kuwachapa mboko??
Huyo jamaa ni mwanga kama wengine tuu
Mkuu matangazo ya uganga yamepigwa marufuku na serikali. Kama huyo jamaa ni kama waganga wengine, basi anastahili kuadhibiwa kwa mujibu wa sheria. Pia redio ya mlimani wanastahili kufungiwa na TCRA au kupigwa faini kwa kumruhusu hiyo mganga kuwatapeli wananchi kupitia redio wanayoisimamia.
 
Ungeelewa huko ndiyo waislamu wamejazana usingeongea hapa
Mwambie waislamu wamejazana kule kwa Mwamposa na wanapigwa pesa kama mbwa.
 
Ni kwa sababu maskini wana dhambi nyingi kuliko matajiri mkuu. Matajiri wanatumia utajiri wao kukwepa dhambi na maskini wanatumbukizwa kwenye dhambi na mapepo na umaskini wao.
Kwamba iliuwe muumini mzuri wa mitume na nabii lazima uwe maskini.
 
Kwakua ujinga ni wenu wenyewe mnatapeliwa huku mnasema Amen acha atajirike kwa ujinga wenu
 
Kwamba iliuwe muumini mzuri wa mitume na nabii lazima uwe maskini.
Ndio mkuu. Hata Yesu hakuja kwa ajili ya matajiri bali alikuja kwa ajili ya maskini na wanaoonewa katika nchi hii.
 
Kwakua ujinga ni wenu wenyewe mnatapeliwa huku mnasema Amen acha atajirike kwa ujinga wenu
Mkuu wanadai eti hawapigwi bali wanatoa sadaka kwa ajili ya Mungu.
 
Utoaji wa sadaka sio upigaji mkuu. Wanaotoa pesa ya sadaka wanafanya hivyo kwa mujibu wa maandiko matakatifu.
Kwa kuwa wanatoa kwa ufahamu wao! Wasije kuliwa vichwa
 
Ndugu yangu, ni kama hujaelewa.

Huyo Muliro mwenyewe anaamini wachawi na anaweza kwenda kutoa pesa nyingi ili kuombewa na huyo nabii.
Yes. Muliiro naye huenda ni muumini wa wachawi na ni muumini wa ushirikina.
 
Back
Top Bottom