Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Ingia YouTube kisha andika Pastor John Cena kisha uje hapa tucheke woteView attachment 2411042
Nabii Odumeje wa Nigeria akionyesha mkanda alioupata baada ya kushinda pambano la Kimataifa la Vita ya Kiroho.
Nabii Odumeje anasema alienda kuzimu akiwa peke yake na akapigana na shetani wakiwa kwenye ulingo uliokuwa umefungwa pande zote.
Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe hujui kitu.
Kongole za kipekee zimfikie Mshana Jr
View attachment 2411061
Basi mzee, niko mbali na hospital, naogopa kuvunja mbavu zangu, nikakosa matibabu, nife kifala bureeeIngia YouTube kisha andika Pastor John Cena kisha uje hapa tucheke wote
π€£π€£π€£π€£π€£View attachment 2411042
Nabii Odumeje wa Nigeria akionyesha mkanda alioupata baada ya kushinda pambano la Kimataifa la Vita ya Kiroho.
Nabii Odumeje anasema alienda kuzimu akiwa peke yake na akapigana na shetani wakiwa kwenye ulingo uliokuwa umefungwa pande zote.
Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe hujui kitu.
Kongole za kipekee zimfikie Mshana Jr
View attachment 2411061
Jamaa alikuwa anawabeba waumini kisha anawarusha kwenye vitiBasi mzee, niko mbali na hospital, naogopa kuvunja mbavu zangu, nikakosa matibabu, nife kifala bureee
Namvimbia kudadadekiJamaa alikuwa anawabeba waumini kisha anawarusha kwenye viti
π€ͺππ€£π πPastor Ronaldo huyooo
Nini kimetokeaAposto kuna muujiza hukuπ€£π€£π€£π€£
Pastor Messi
Ukiristo ndo kitu gani?Ukiristo sasa hivi umejidhalilisha sana...yaan ukiristo umegeuka mwanasesere
SijuiUkiristo ndo kitu gani?
SijuiUkiristo ndo nn???
Kwahyo unaongea vitu usivyovijua?? Na ww upo ndani ya wale ml 7 au ni mpya?Sijui
Stress tulizonazo waafrika vyanzo vyake ni vingi, hapo ukute ana wafuasi aliowaletea mkanda alioushinda dhidi ya shetani.View attachment 2411042
Nabii Odumeje wa Nigeria akionyesha mkanda alioupata baada ya kushinda pambano la Kimataifa la Vita ya Kiroho.
Nabii Odumeje anasema alienda kuzimu akiwa peke yake na akapigana na shetani wakiwa kwenye ulingo uliokuwa umefungwa pande zote.
Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe hujui kitu.
Kongole za kipekee zimfikie Mshana Jr
View attachment 2411061
SijuiKwahyo unaongea vitu usivyovijua?? Na ww upo ndani ya wale ml 7 au ni mpya?
ππ π€£ππ€ͺStress tulizonazo waafrika vyanzo vyake ni vingi, hapo ukute ana wafuasi aliowaletea mkanda alioushinda dhidi ya shetani.