Nabii Malisa aelezea jinsi alivyomfufua mama yake mzazi mara 3

daah kuna kitu hakipo sawa hii nchi ktk masuala ya dini
 
Haya mbona Yesu alisema wazi yatafanywa na watakaomfuata? Ulimwengu wa Roho una taratibu (siri) zake, hivyo ukiona yeye huyu kaweza, amejua siri ya kufufua watu.

Yohana Mtakatifu 14:12

Swali ni, wewe unajua siri zipi? Ulinzi binafsi ushajua siri yake walau, tuache huyu mwenye kusaidia wafu kufufuka? Ukijua siri ya Ulinzi, utahisi kawaida ila kwa wengine itakuwa ajabu (kiasi kwamba unaitwa wa 'mchongo' na yule asiye na ufahamu katika ulifanyalo).
 
Ujinga Ni mwingi aisee na ni mzigo
Yaani akiwa amefariki, lakini akapiga simu. hivi hawa waumini wanaokotwaga wapi au wanarogwa
Huyu jamaa ilibidi apigwe mawe kwa udanganyifu
 
Wanawake waokolewa kutoka kwa hawa manabii tapeli. Mwisho mauaji kama ya Kenya yatatokea hapa sababu waumini wameisha tekwa akili na nabii tapeli anataka wasalimishe mali zao na wafe
 
Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa.
 
KWA SASA INJILI ILE YA KINA MOSES KULOLA, MWL.MWAKASEGE, PASTOR MABOYA. HAIPO TENA
NI MWENDO WA BIASHARA YA KUUZA HISIA, IMANI, FARAJA KWA WAPUMBAVU KATIKA IMANI YA KRISTO.

NANI ALIKUWEPO MAMAKE ALIPOFARIKI?
NANI ALIKUWEPO MAMAKE AKIFUFULIWA?

HUKUWEPO! NA MAKOFI YA KUSHANGILIA UNAPIGA!! UNASHNGILIA NINI? NANI?
 
Kuna sura Fulani kitabu Cha yerimia kina uliza mwanadamu unastaajabu hayo njoo uone ......[emoji23][emoji23][emoji23] Usisitaajabu mkuu Nchi hii inawajinga wengi sana kuwahi kutokea!
 
Nilikuwa pekee yangu nikafariki nikampigia simu akaja kunifufua"- Mama Malisa.
Kuna vitu ukiona au kusikia unashindwa hata ustaajabu Kwa style ipi! Itakupasa uwe mjinga wa kiwango kikubwa sana kukubali na kushangilia
 
Wanawake waokolewa kutoka kwa hawa manabii tapeli. Mwisho mauaji kama ya Kenya yatatokea hapa sababu waumini wameisha tekwa akili na nabii tapeli anataka wasalimishe mali zao na wafe
Serikali ndo inashida Kwa hili mbona kagame kawamudi Hawa matapeli
 
Unaamini kabisa kamfufua mama yake?
 
Huyu akamatwe kwa nguvu apelekwe Hanang akawafufue watanzania waliokufa kwa mafuriko. Hatuwezi kukubali utapeli huu bila kuhoji kila siku. Na kama akishindwa kumfufua hata mmoja, atandikwe bakora.
Hanang mbali kote huko huohuo mtaa anaoishi hakuna watu wanaokufa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…