Nabii Malisa aelezea jinsi alivyomfufua mama yake mzazi mara 3

Nilikua pekeangu nikafariki, nikampigia simu akanifufua

Dah kumbe kuzimu kuna simu dadeki
 
Sishangai kwa prophet kumfufua mtu.. lakini kwa jinsi alivyo wasilisha shuhuda yake inaleta utata... But tusikatae wala kukosoa.. Tuendelee kuyaishi maisha, kwani Mungu ni wakwetu sote.. kuna nabii mmoja anakauli yake anasema "Mungu anawatu wengi"
 
Umesoma Hadi mwisho?

Mfu(marehemu) anasema alikuwa pekee yake akafa akampigia simu Malisa akaja akamfufua.

Nambie ukifa unaweza piga simu?
Ukiamini Mungu yupo na anaweza kufanya miujiza yote, huna msingi wa kukataa hilo.

Kwa sababu ukikataa habari hiyo, kimsingi utakuwa unasema Mungu hana uwezo wa kumpa mfu simu apige kuongea na nabii, halafu nabii akamfufua.

Ukiamini Mungu yupo na anaweza kufanya miujiza, huna msingi wa kukataa habari hii categorically.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…