Nabii Malisa: Mungu ameniambia Corona ni April tu, May hakuna Corona na hakuna atakayekufa!.

Majuha kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu achana na hao manabii uchwara.
Nmekuwa nakufatilia kwa muda mrefu una karama na vipaji lukuki.Mimi humu JF mfuasi wako mtiifu ingawa kuna baaadhi ya vitu vichache tu ndo huwa sikubaliani na wewe hasa hasa msimamo wako laini laini kuhusu watawala tulio nao nchini Tanzania.

Naomba kudeclare mimi n mkatoliki kama wewe,ila wewe kwa ushawishi wako waweza kuwa kipaza sauti kwa kulifikisha hili suala kwa wahusika.

Ombi langu kwako wewe kama mwana habari mbobezi fikisha hiki kilio cha wengi hasa wakatoliki tuweze kuwa na Television station yenye hadhi haiwezekani kanisa linafanya mambo mengi mazuri hasa utoaji wa huduma za kijamii,ila hapa katika kituo cha Tv kama wamejisahau mno,naudhika mno weekend nakuwa natamani kutune channel ili niangalie ibada na content nyingine za kikatoliki sana sana naambulia kukutana na michannel ambayo sina interest nazo kabisa.

Naomba uongee na watu wa TEC wakueleze mipango na mikakati yao kuhusu hilo suala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pascali. Wewe ni wa kuwasikiliza hawa manabii feki? Sikutegemea.
Bora ungewasikiliza ma padre wa RC au KKKT au ANGLICAN ningekuelewa maana angalau hawa wanayo knowledge ya theology.
 
Mimi siamini, ukisema unaamini maana yake unakiri kua wewe huna akili. Mimi siamini, nina uhakika.
Sawa umeshinda, kubishana na kichaa ni ajali .Usimchukie MUNGU,wala kunichukia mimi kwasababu umewekwa karantini, au kwasababu ndugu yako amekufa kwa CORONA.Kila mtu apambane na hali yake.Asingekufa kwa CORONA bado angekufa tu hata,kwa ajali au magonjwa mengine pia wapo wanaokufa wakiwa usingizini.

Hauamini juu ya Mungu, kwasababu hajaondoa CORONA. Je wewe unachokiamini kimefanikiwa kuondoa hiyo CORONA?.
 
Siamini mungu sio kwa sababu ya corona, mimi nina uhakika mungu hayupo, hajawahi kuwepo na wala hajawahi kufanya chochote. Corona ni mfano tu. Sasa nyie mnaoamini ma mnaoomba Mumgu asie na uwezo wala msaada wowote, miaka na miaka mnamuomba, ukimwi, kansa, ebola, nk ni magonjwa yapo miaka na miaka, je Mungu wenu bado hajasikia maombi yetu aondoe hayo magonjwa au mambi hayajamfikia? Endeleeni kupiga kelele labda amelala, kelele inaweza kumuamsha.
 
Hakuna cha maana una rudia yaleyale.Jilinnde na CORONA.
 
Endelea kuomba Mungu wako aliekufa.
Hakuna shida mimi naendelea, zamani mababu waliomba hadi miamba,hadi sasa kuna wanaoomba hata kondoo.Jikinge dhidi ya CORONA,wasi wasi juu ya CORONA imefanya akili zako zirudi utotoni.Unauliza maswali wanayo uliza watoto juu ya uwepo wa MUNGU.
 
Hakuna shida mimi naendelea, zamani mababu waliomba hadi miamba,hadi sasa kuna wanaoomba hata kondoo.Jikinge dhidi ya CORONA,wasi wasi juu ya CORONA imefanya akili zako zirudi utotoni.Unauliza maswali wanayo uliza watoto juu ya uwepo wa MUNGU.
Hii mada mungu iko juu ya uwezo wako kuelewa. Endelea na maombi.
 
Hii mada mungu iko juu ya uwezo wako kuelewa. Endelea na maombi.
Haipo juu ya uwezo wangu, Mimi naelewa ndiyo maana naamini kuwa Yupo.Nashukuru pia kwa kunipa moyo kuendelea na maombi,nitakuombea na wewe hofu ya CORONA,UKIMWI,na EBOLA vikuondokee.naona Unateseka sana unaposikia magonjwa na maradhi, kwani unataka kuishi miaka buku mh. hakimu?
 
Mkuu tuachane na hayo, nimeshaona huna akili wala uwezo wa kuelewa haya mambo. Sababu moja kubwa ni kua wewe ni little learner. Endelea na maombi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…