FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataambukizana corona humo humo studio kama wale wa Tibisii halafu waache wajane na watoto wachanga.Wanabodi,
Heri ya Pasaka.
Naangalia Live ya Pasaka kwe Wasafi TV, kipindi kinaendeshwa na Mtangazaji mahiri Lilian Mwasha.
Naomba kukiri leo ndio mara yangu ya kwanza kumsikia mtangazaji huyu na kuiangalia Wasafi TV siku ya Jumapili asubuhi, huwa naangalia Chomoza kumsikiliza Dr. Ellie. Mimi kwa agewise ni 50+, hivyo kuna ile natural conservative opinion kuwa kuna TV za wazee, kuna tv za watu wazima, kuna TV za vijana na kuna TV za watoto depending on seriousness of contents, Clouds TV, TVE na Wasafi TV, nilizihesabu ni TV za Vijana, hivyo huwa sizifuatilii sana, ila leo wife amengangana nimejikuta naangalia Wasafi TV.
Kipindi cha leo, Studio za Wasafi TV, wamealikwa wanamuziki wa kundi la The Voice, Lissu, Masanja Mkandamizaji, na Nabii kijana anaitwa Malisa, kiukweli huyu dogo ametisha!.
Akiizungumzia Corona, Nabii Malisa amesema Mungu amezungumza nae kwa maneno ya unabii wa Corona, Mungu amemuonyesha kuwa mwisho wa janga la Corona, mwisho ni Mwezi huu April, kuanzia mwezi May, hakutakuwa na ugonjwa wa Corona tena, na kuanzia sasa hakutatokea tena vifo vya Corona nchini Tanzania, hata hivyo vifo vya Corona vilivyotokea, the cause sio Corona bali ni matatizo mengine ya kiafya ya watu hao ambayo hayakutajwa, hivyo Corona imewasindikiza tuu, kwani tayari waliishakuwa wako njia moja, hata bila ya Corona, ilikuwa safari!.
Apostle Daniel Maboyo akizungumza kutoka Arusha, amezungumza jambo la msingi sana.
Du...!Wanabodi,

Wewe ukiomba kitu flani mahali ukakikosa ndio inakuwa mwisho wako wa kuomba?.Waumimi wengi wa dini hua sio wazima kichwani.
Utashangaa leo watu wameenda kanisani kumuomba mungu ambae ameshindwa kuondoa corona.
Mbaya zaidi utakuta kuna wengine wamefiwa na ndugu zao sababu ya corona na bado wanaenda kumuomba Mungu, sasa sijui wanaenda kuomba kitu gani? Unaenda kuomba kitu kisicho na msaada kwako?
Tuendelee kuomba haka kagonjwa kapite.
japo sishabikii watu kukusanyika huku wakijua corona ni hatari, ila unachowaza ww?Waumimi wengi wa dini hua sio wazima kichwani.
Utashangaa leo watu wameenda kanisani kumuomba mungu ambae ameshindwa kuondoa corona.
Mbaya zaidi utakuta kuna wengine wamefiwa na ndugu zao sababu ya corona na bado wanaenda kumuomba Mungu, sasa sijui wanaenda kuomba kitu gani? Unaenda kuomba kitu kisicho na msaada kwako?
Tuendelee kuomba haka kagonjwa kapite.
Hilo alilolizungumza maboyo mbona hujaliweka mkuuWanabodi,
Heri ya Pasaka.
Naangalia Live ya Pasaka kwe Wasafi TV, kipindi kinaendeshwa na Mtangazaji mahiri Lilian Mwasha.
Naomba kukiri leo ndio mara yangu ya kwanza kumsikia mtangazaji huyu na kuiangalia Wasafi TV siku ya Jumapili asubuhi, huwa naangalia Chomoza kumsikiliza Dr. Ellie. Mimi kwa agewise ni 50+, hivyo kuna ile natural conservative opinion kuwa kuna TV za wazee, kuna tv za watu wazima, kuna TV za vijana na kuna TV za watoto depending on seriousness of contents, Clouds TV, TVE na Wasafi TV, nilizihesabu ni TV za Vijana, hivyo huwa sizifuatilii sana, ila leo wife amengangana nimejikuta naangalia Wasafi TV.
Kipindi cha leo, Studio za Wasafi TV, wamealikwa wanamuziki wa kundi la The Voice, John Lissu, Masanja Mkandamizaji, na Nabii kijana anaitwa Malisa, kiukweli huyu dogo ametisha!.
Akiizungumzia Corona, Nabii Malisa amesema Mungu amezungumza nae kwa maneno ya unabii wa Corona, Mungu amemuonyesha kuwa mwisho wa janga la Corona, mwisho ni Mwezi huu April, kuanzia mwezi May, hakutakuwa na ugonjwa wa Corona tena, na kuanzia sasa hakutatokea tena vifo vya Corona nchini Tanzania, hata hivyo vifo vya Corona vilivyotokea, the cause sio Corona bali ni matatizo mengine ya kiafya ya watu hao ambayo hayakutajwa, hivyo Corona imewasindikiza tuu, kwani tayari waliishakuwa wako njia moja, hata bila ya Corona, ilikuwa safari!.
Hiki anachokifanya Nabii huyu is it right?, kusema definite Corona mwisho April na hakuna tena atakayekufa kwa Corona Tanzania, live on TV?.
Kiukweli huyu Mtangazaji Lilian Mwasha is so good, ana maswali yenye akili, amempigia simu Apostle Daniel Maboyo akizungumza kutoka Arusha, akamuuliza, Tanzania kuna wahubiri wengi wa miujiza ya uponyaji tunawaona kwenye TV mbalimbali wakifanya mambezi ya uponyaji na miujiza ya uponyaji, sasa dunia na Tanzania tumekumbwa na janga la hili gonjwa la Corona, mbona hawa wahubiri hawafanyi maombezi ya kuponya Corona?, mbona hawaendi kuwaombea wagonjwa wa Corona wakaonyesha hiyo miujiza yao ya uponyaji?!.
Apostle Daniel Maboya, mezungumza jambo la msingi sana kuwa Corona ni ugonjwa wa ukweli haihitaji kuufanyia longolongo za uponyaji, amewataka Watanzania tusikilize maelekezo ya viongozi wetu wa serikali na maekezo ya kitaalamu na kumuomba Mungu atuepushe.
Simu zinapigwa watu wanaongea na Nabii Malisa anawafanyia unabii live on TV!. Kama hizi simu zinazopigwa sio arranged or premeditated, then huyu Nabii Malisa anatisha sana kwa jinsi anavyowafunulia hao wapiga simu kuhusu maisha yao, hadi watu wanalia!.
If you have time, please Watch
Pasaka Njema.
Pasakali
Nani huyo?Kuna mkubwa wao alisemaga corona mwisho march 27!
Ametajwa kama Daniel, Watangazaji nao ni binadamu, kama ni Danstan please confirmDastan Maboya au Daniel Maboyo??
Jana (11/04) asubuhi saa 1:30 mlikuwa live Star Tv na Dr Abbas,Dr Faustine( Ndugulile) #Host Doto Emmanuel Bulendu .Wanabodi,
Heri ya Pasaka.
Naangalia Live ya Pasaka kwe Wasafi TV, kipindi kinaendeshwa na Mtangazaji mahiri Lilian Mwasha.
Naomba kukiri leo ndio mara yangu ya kwanza kumsikia mtangazaji huyu na kuiangalia Wasafi TV siku ya Jumapili asubuhi, huwa naangalia Chomoza kumsikiliza Dr. Ellie. Mimi kwa agewise ni 50+, hivyo kuna ile natural conservative opinion kuwa kuna TV za wazee, kuna tv za watu wazima, kuna TV za vijana na kuna TV za watoto depending on seriousness of contents, Clouds TV, TVE na Wasafi TV, nilizihesabu ni TV za Vijana, hivyo huwa sizifuatilii sana, ila leo wife amengangana nimejikuta naangalia Wasafi TV.
Kipindi cha leo, Studio za Wasafi TV, wamealikwa wanamuziki wa kundi la The Voice, John Lissu, Masanja Mkandamizaji, na Nabii kijana anaitwa Malisa, kiukweli huyu dogo ametisha!.
Akiizungumzia Corona, Nabii Malisa amesema Mungu amezungumza nae kwa maneno ya unabii wa Corona, Mungu amemuonyesha kuwa mwisho wa janga la Corona, mwisho ni Mwezi huu April, kuanzia mwezi May, hakutakuwa na ugonjwa wa Corona tena, na kuanzia sasa hakutatokea tena vifo vya Corona nchini Tanzania, hata hivyo vifo vya Corona vilivyotokea, the cause sio Corona bali ni matatizo mengine ya kiafya ya watu hao ambayo hayakutajwa, hivyo Corona imewasindikiza tuu, kwani tayari waliishakuwa wako njia moja, hata bila ya Corona, ilikuwa safari!.
Hiki anachokifanya Nabii huyu is it right?, kusema definite Corona mwisho April na hakuna tena atakayekufa kwa Corona Tanzania, live on TV?.
Kiukweli huyu Mtangazaji Lilian Mwasha is so good, ana maswali yenye akili, amempigia simu Apostle Daniel Maboyo akizungumza kutoka Arusha, akamuuliza, Tanzania kuna wahubiri wengi wa miujiza ya uponyaji tunawaona kwenye TV mbalimbali wakifanya mambezi ya uponyaji na miujiza ya uponyaji, sasa dunia na Tanzania tumekumbwa na janga la hili gonjwa la Corona, mbona hawa wahubiri hawafanyi maombezi ya kuponya Corona?, mbona hawaendi kuwaombea wagonjwa wa Corona wakaonyesha hiyo miujiza yao ya uponyaji?!.
Apostle Daniel Maboya, mezungumza jambo la msingi sana kuwa Corona ni ugonjwa wa ukweli haihitaji kuufanyia longolongo za uponyaji, amewataka Watanzania tusikilize maelekezo ya viongozi wetu wa serikali na maekezo ya kitaalamu na kumuomba Mungu atuepushe.
Simu zinapigwa watu wanaongea na Nabii Malisa anawafanyia unabii live on TV!. Kama hizi simu zinazopigwa sio arranged or premeditated, then huyu Nabii Malisa anatisha sana kwa jinsi anavyowafunulia hao wapiga simu kuhusu maisha yao, hadi watu wanalia!.
If you have time, please Watch
Pasaka Njema.
Pasakali
Watu wazidi elimishwa zidi ya gonjwa hili na kamwe hawaamabii wasiwaamini hundred percent hatukatai tuzidishe maombi kwa sababu hakuna kinachoshindikana kwake pia ushauri was watalaamu wazingatie kwani hayo maarifa pia wamepewa na MunguWanabodi,

Huwa wanasema baada ya kusoma ramani, kwa vyovyote mpaka sasa Wazungu ndio waathirika zaidi ukilinganisha na inavyotokea huku Afrika, na bado hakuna sababu rasmi ya kisayansi ya kujua ni kwa nini inakuwa hivyo.Gwajima alisema kwa Tanzania haitaua sana,Itaendelea kuua wazungu huko,tuendelee kukusanya kauli za Manabii ili tujue yupi aliambiwa kweli