Nabii Malisa: Mungu ameniambia Corona ni April tu, May hakuna Corona na hakuna atakayekufa!.

Wataambukizana corona humo humo studio kama wale wa Tibisii halafu waache wajane na watoto wachanga.

Useless pastors.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du...!
 
Wewe ukiomba kitu flani mahali ukakikosa ndio inakuwa mwisho wako wa kuomba?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
japo sishabikii watu kukusanyika huku wakijua corona ni hatari, ila unachowaza ww?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo alilolizungumza maboyo mbona hujaliweka mkuu
 
Huyo naona ameenda mbali.

Yupo mmoja huku kwetu Arusha yeye baada ya kuona Nchi zinazoripoti visa zinaongezeka, kwenye tarehe za mwanzoni za mwezi march akatangaza unabii kuwa corona itaingia na Tanzania.

Kwa hivi sasa Waumini wake wanasheherekea kutimia kwa unabii huku Wasaidizi wake wakihimiza utoaji wa sadaka lukuki kama sehemu ya kupongeza unabii huo.
 
Et sio ugonjwa wa kuufanyia longologo. So mengine ndyo wanafanyia longolongo? Huyu si alidai kuweza kufufua mtu?

Mungu wake ni uchawi wa nigeria siwezi uamini. Unless ao wachawi ndyo walileta corona.

Cha kushangaza angesema opposite yake kuwa.."corona itaendelea kuwepo na itauwa wengi", bac kesho yake angeitwa kituo cha police kama sio kwa RC.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana (11/04) asubuhi saa 1:30 mlikuwa live Star Tv na Dr Abbas,Dr Faustine( Ndugulile) #Host Doto Emmanuel Bulendu .
Kuna Vitu mlijadili kuhusu Kuripoti Covid-19.
Kiuweledi unaamini aliyosema Nabii Malisa?
Au unaamini kiimani zaidi Kama Mkristo?
 
Watu wazidi elimishwa zidi ya gonjwa hili na kamwe hawaamabii wasiwaamini hundred percent hatukatai tuzidishe maombi kwa sababu hakuna kinachoshindikana kwake pia ushauri was watalaamu wazingatie kwani hayo maarifa pia wamepewa na Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gwajima alisema kwa Tanzania haitaua sana,Itaendelea kuua wazungu huko,tuendelee kukusanya kauli za Manabii ili tujue yupi aliambiwa kweli
Huwa wanasema baada ya kusoma ramani, kwa vyovyote mpaka sasa Wazungu ndio waathirika zaidi ukilinganisha na inavyotokea huku Afrika, na bado hakuna sababu rasmi ya kisayansi ya kujua ni kwa nini inakuwa hivyo.

Ninachotamani kusikia kutoka kwao ni kile walichoambiwa na Mungu kwamba ndio sababu ya Wazungu kuathirika zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…