Nabii Malisa: Mungu ameniambia Corona ni April tu, May hakuna Corona na hakuna atakayekufa!.

Umuombe Nani akapitishe?
 
Duh...

Mkuu Hakimu Mfawidhi, nguvu zinazotokea beyond human capacity/ nature huwa unafanya nini?

Hata wasioamini ktk Mungu, wanaomba msaada kule ambapo kuna supreme power.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili za kuambiwa changanya na zako.

Hata TB Joshua alisema corona mwisho ni 27 march 2020 ila kilichofuata baada ya hapo ilimlazimu tu apige uturn.
 
Nimejaribu sana kupiga namba zao za simu, hazipatikani, ila kuna mtu amepiga akampa Nabii za uso kuwa huo utabiri wake ni longlongo yeye hamuamini.
Nabii Malisa akajibu, Mungu yupo na anatenda kwa wanaomuamini Mungu, hivyo hata usipomuamini yeye, muamini Mungu, atatenda.
P
 
kwa kuwa ni mambo ya "FUTURE ".
Tuombe tu uzima.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Pascal Mayalla

Asante.
Sitaki kujadili juu ya maneno ya hao watumishi wa mungu (Mungu ?)

Ambacho naona ni hatari, sijaona social distancing hapo studio. Nahisi ni jambo la hatari sana iwapo mmoja wa hao ni muathirika. Naamini wewe una ushawishi sana kwenye tasnia ya habari Tanzania. Tusaidie hapo, Corona ipo.
 
Kuna kitu kizuri nimekinote kwa utabiri wa huyu Nabii Malisa, tabiri zake zote kwa kila aliyepiga simu, ni mtabiri ameona nguvu za giza, nguvu za shetani zikiwakwamisha watu, hivyo amezifunga na sasa wote watabarikiwa, wenye magonjwa wameponywa instantly, na wote watafanikiwa.
P
 
Kuwaamini hawa wanaojiita mitume sijui manabii inahitaji utindio wa Ubongo!

Wote wanakamata akili za vichaa.

TB Joshua alisema kaambiwa na Mungu inaisha tar 27/03/2020, siku hiyo alikuwa bize anakunywa maji na limao kwenye TV Emmanuel.

Waache wizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha wapumbavu waendelee kupumbazwa na wapumbavu wapumbavu!Nahisi Watawala wanawaogopa manabii....au wanafungamano nao....Kama vipi wawapeleke Mlonganzila wakashirikiane na Madakari kutibu wagonjwa wa Korona!
Ukishaona Mhubiri anakwenda kuhiji Nigeria ujue mahabiri yake,,Ni uchawi,ushirikina,...utapeli,hata waumini waendao huko wanafuata ushirikina ...HIVI MUNGU Nl MCHOYO APELEKE NABII MBALI KOTE HUKO,AU KWA NINI AWAPE NGUVU ZA UPONYAJI WACHACHE?MBONA YESU ALIFUNDISHA WATU WOTE KUOMBA!?
 
Hata ikitokea watu wengine wakafa kwasababu ya corona atajitetea kuwa wamekufa na magonjwa yao sio corona
 
Acha wapumbavu waendelee kupumbazwa na wapumbavu wapumbavu!Nahisi Watawala wanawaogopa manabii....au wanafungamano nao....Kama vipi wawapeleke Mlonganzila wakashirikiane na Madakari!
Haijawahi kutokea kuwa na Nabii kwa majina ya Malisa, Sambeke, Lema, Masawe, Malya, Kimaro, Ndesamburo, n.k n.k! Haiwezekani! Hata Pascal Mayalla anajua hilo.
 
Kipindi kinamalizika kwa maombi na wameomba kwa kuwataja baadhi ya viongozi wakiongozwa na rais Magufuli, Waziri Ummi, Tulia Akson etc.
Wakamuombea Diamond na menejimenti nzima ya Wasafi TV na kumalizia kumuombea Makonda, na kuiombea Dar The Voice wakilianzisha kwa a cappella kali!.
P
 
Wanabashiri tuu ili baadae waje kuonekana kweli walisema.
Hili gonjwa hakuna anaejua linaisha lini mungu tuu ndie ajuaye.huyo papa mwenyewe kule vatican alilala mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…