Nabii Malisa: Mungu ameniambia Corona ni April tu, May hakuna Corona na hakuna atakayekufa!.

Hao manabii kanjanja tu, hivi wanadhani Mungu anaongea hovyohovyo na vijana wasaka sadaka kama hao? Tuheshimu Sayansi wasijifanye wanajua kutabili si wakaponye watu huko mahospitalini? Wao wanasubiria kufanya maigizo ya uponyaji katika makongamano
 
PASKALI hao ni Machinga wa imani na manabii wa uongo.... Full stop!!
Ningewaamini kama wangelitabiri hili janga several years or decades ago...
Otherwise tuendelee kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni huku tukimaintain social distancing...
 
Wewe P na Malisa mnapaswa kushitakiwa maana mmedharau na kutii mamlaka za juu. Anayepaswa kutoa habari za Corona nadhani unajua ni nani. Sasa wewe na Malisa mnakosa na mbaya zaidi ww nu mwanasheria kwa kitendo chako hiki ni dharau kubwa kwa mamlaka za juu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Rufiji, kitu kinacholatazwa ni kutoa updates za ugonjwa wa Corona, kwenye bandiko hili umesikia update yoyote?.
P
 
Tumuombe Nani sasa ili kaugonjwa kapite?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lilian Mwasha aibukia wasafi.....msanii mno huyu Dada Mungu hadhihakiwi.....!! Muda utaongea
 
Lilian Mwasha aibukia wasafi.....msanii mno huyu Dada Mungu hadhihakiwi.....!! Muda utaongea
Kiukweli jina nilikuwa nalisikia leo ndio nimemuona, kiukweli yuko fit sana, kuna mdada mmoja Mwasha aliyekuwa na ile 8020 blog namfahamu.
P
 
Tutahifadhi kauli zake.
Hatutaki aje kukana kauli yake.
Sayansi ilivyo....inaonyesha tatizo linaweza kupungua lakini siyo la kuisha leo.
Kikubwa tufuate ushauri wa wataalam wa Afya.
Hawa wachumia tumbo watatupotezea mwelekeo
 
Duh...

Mkuu Hakimu Mfawidhi, nguvu zinazotokea beyond human capacity/ nature huwa unafanya nini?

Hata wasioamini ktk Mungu, wanaomba msaada kule ambapo kuna supreme power.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliekudanganya kuna supreme power ni nani? Uliwahi kuiona wapi?

Hii issue ya corona na magonjwa mengine ni ishara kua hakuna supreme power, hakuna mungu wala shetani.

Cha ajabu watu wanaenda kumuomba mungu ambae hawezi kuzuia corona wala ebola, unaomba kitu kisicho na msaada kwako ili iweje?

Haya mambo ya mungu ni hadithi tu za alinacha. Naona kule italy pala mwenyewe leo ameendesha ibada kwa livestreaming, hua wanasema pale ndipo yesu/mungu aliweka mwaka au kanisa lake, je mungu amelisahau kanisa lake la mt petro? Ameshindwa kumsaidia papa muwakilishi wake hapa Duniani?

Tuendelee kuomba.
 
Ha haaaa..
Hiyo ni kama unamlisha kuku chakula kisha unatabiri huyu kuku kabla ya siku mbili kuisha atakunya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…