MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
- #21
Hahahahahaha ukiwafikiria manabii wote wa sasa utakereka na kufurahi kwa pamoja. Mashimo ame-specialize kwenye unabii wa mechi za Simba na Yanga.Ila mashimo amekomaa hadi amefikia level ya unabii?😂.
Yaani sasa hivi nabii mashimo ni level moja na kina musa, isaya, yakobo, suleimani, Daudi, enock na manabii wengine wa kiyahudi wa zamani😂😂.
Wakristo, wayahudi na waislamu hua wanasoma maandiko ya hao manabii wa zamani, Mashimo atoe maandishi yake yasomwe kwenye makanisa na misikiti yote watu tufuate maelekezo yake nambii mkuu Mashimo😂