Nabii Mashimo amtaja Malisa GJ kama mrithi wa Paul Makonda

Hahahahahaha ukiwafikiria manabii wote wa sasa utakereka na kufurahi kwa pamoja. Mashimo ame-specialize kwenye unabii wa mechi za Simba na Yanga.
 
Malissa ana great hatred for Makonda. Unaona ndiye alikuwa wa kwanza kuripoti Makonda atapelekwa mahakamani. Kusema kwamba Malissa anataka kurithi kazi za upendo alizokuwa anafanya Makonda,kazi gani za upendo? ,Malissa anasema Makonda kapigwa marufuku na State Department asiingie Marekani.
Kwa hiyo Malissa amrithi Makonda ili apate nini,ili apigwe marufuku kwenda Amerika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ