una bahati, nilitaka nikushukie kwa hoja kuwa umebadili msimamo wako kwenye huu uzi kumbe huyo mwenzako mnayefanana naye ni member mwingine mpyaMaxence Melo Moderator
JamiiForums
Inakuaje ID yangu mnaigawa kwa member mwingine tena? Hapo tofauti ni space tu,
Kuweni makini aisee,hii inaweza kuleta shida.
Umenena vyema sana mkuu.Nabii gani anapenda kujisifu na kusifiwa kuliko Mungu? Nabii gani anaishi maisha ya anasa na ufahari kuliko waumini wake? Hawa ndio manabii wa mchongo kulaghai watu huku hatuoni matendo ya manabii wa ukweli
Fanya mpango uzuru kanisani kwake uvute mpunga mzee,unaweza pia ondoka na ndingaHBD na long live Nabii Mkuu Mh Dokta GeorDavie.
p
kumbe na wewe, una ID hiyoAisee! Hawa Moderator naona kama kazi inawashinda sasa!
Nataka nibadilishe,Aisee! Hawa Moderator naona kama kazi inawashinda sasa!
Itabidi hii ID nibadilishe,The Icebreaker kuna mfanano wako hapa..!!
Thanks,Nataka nibadilishe,
Sasa nabadilishaje ?Thanks,
Itakua umefanya vizuri sana.
Umeambiwa anasaidia watu.. unataka matendo gani mengine
Unaweza kunionyesha hayo maandikoHuo unabii kapewa na nani?
Nani alimuapprove kuwa ndiye nabii na kuwa mkuu wa wengine?
Ni mashuhuda gani walikuwepo ktk hilo tendo la approving ya huyo nabii ili kujihakikishia ama kushuhudia tendo hilo zito?
Kwa unabii upi haswa alioufanya unaoweza kumfanya awe na hicho cheo zaidi ya wengine(ukuu).
Ktk maandiko manabii wengi walikuwa wakipewa hizo karama chini ya mpaka mafuta ambaye anakuwa kama mtoa upako/nguvu kwa nabii mpya ikiwezekana ktk umati wa watu ama shuhuda wa hilo tendo, kama sio mashahid bas kunakuwa na dalili/tabili za ujio wa huyo nabii kabla hajazaliwa ama akizaliwa kuwa na utofauti ktk jamii[emoji23][emoji23].
Je huyo TAPELI geordavie kapewa na nani huo unabii? Acheni kudanganywa na hao wachawi na washirikina wanaotumia dini kuwadanganyai