Mitchell
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 904
- 1,036
Jamaniii 😛NATAMANI NAYE AANZE KUWAPELEKA MBINGUNI KWA MAKUNDI KAMA HUYU WA KENYA
Update: Miili iliyofukuliwa ya Waumini waliofunga hadi kufa yafikia 83
UPDATE: Miili zaidi imefukuliwa katika Makaburi yanayohusishwa na 'ibada ya njaa', na kufanya jumla ya vifo kufikia 83, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka - Polisi wamekuwa wakizunguka msitu wa #Shakahola kwa takriban Siku 4 baada ya kupokea taarifa kuhusu dhehebu linaloongozwa na...www.jamiiforums.com