Nabii mkuu Dkt. Geordavie asheherekea kumbukizi yake ya kuzaliwa, watu maarufu wahudhuria

George David Malembeka aliishi muda mwingi maisha ya dhiki kwenye vibanda vya manamba Burka Estate, Ngaramtoni ya Chini Arusha sasa anafurahia utajiri usiojulikana umetokea wapi🙄
Unaumia?😂😂😂😂
 
Boss Daddy.

Mweh
 
Ngoja na yeye aanzishe ibada ya njaa kama huko kenya 🤣
 
Muache utani, nabii gani ana security tight kama ile, anamhofu nani kiasi cha kupanda madhabahuni na wapambe pande zote? Semeni tu yule ni mjanjamjanja fulani hivi, inatosha
 
Tatizo unaiangalia mambo kwa dimesion ndogo. Kwa hivyo mchezaji mpira akivuta bangi, utasema wachezaji mpira wote ni wavuta bangi. Usiutukane ulokole kisa wahuni wachache wanao tumika ili kuharibu sifa ya upentekoste.
Walokole ni wapuuzi sana tena hawana akili kbs. Utaamini vipi maji ambayo TBS wameyapitisha ndio yanatibu magonjwa. kwanini asitibu bila TBS. Walokole ni mapunguani sana, toka kama upo huko.
 
Bora hata huyu anagusa jamii directly kulikoni wale wanaochuma na kujinufaisha.Happy belated birthday [emoji512] to G.Davie.
 
Nabii gani anapenda kujisifu na kusifiwa kuliko Mungu? Nabii gani anaishi maisha ya anasa na ufahari kuliko waumini wake? Hawa ndio manabii wa mchongo kulaghai watu huku hatuoni matendo ya manabii wa ukweli
Sio nabii tu, eti anajiita Nabii mkuu, ametoa wapi mamlaka haya.
 
Sio nabii tu, eti anajiita Nabii mkuu, ametoa wapi mamlaka haya.
anaji proud mpaka wengine tunashituka. Kajiongezea title nyingi kuzitaja zote kwa pamoja ni shughuli pevu. Anajiita mheshimiwa, mtume na nabii dr. ..... Kituko kingine waumini wake wameweka picha yake mithili ya ile ya rais majumbani wao. Na yeye ana redio yake ya kujitukuzia kuliko Mungu.
 
Mungu ambariki sana Nabii; ujumbe wangu kwake ni kwamba naomba aendelee kuusilkiliza huu wimbo hapa chini

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…